Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Aksante. Inaonekana uko anga nyingine katika hii fani. Uko juu sana katika kuzijibu na kuzichambua kwa makini hoja zinazowasilishwa. Hongera saana, sisi wengine ni wanagenzi wako.
Haahhaha.....we KWEZISHO nawe.
Mie nasema na huyo kijuso wa Dida aliyemtuma.
Ila naona nitakuwa kichaa kwa kukomaza mishipa ya shingo.
Hebu nijindee zangu.
Takutana baadae
 
heheheheeeeeeee to you bibiiiiiii
naona imekuuuumaaaa sana kuhusu dida kupendwa kama vepeee kunywa sumu bib ww hata ulete waganga lori zima hapa ndo penyewe utaishia kuhara humu jf
kapendwa bibi mwenzio ana,zake nahri sasa wew mdudu wa sikio mbona utadudu mwaka huu
 
jambo limekwishavuma kulizuia huwez simba usonguruma,sifa yako uchokonozi
kwenda mwana wa kwenda mja laana usojua hata kujisafisha

kama una puma bhas kapumulie chooni nzi wakuungia mdomoni

haukufundwa bali ulichpopekwa bibi karudie koziiiiiiiiii
 
njoo nikuchambe bibi mpaka uzimie maana unakimbia humu
Nikukimbie wewe usioeleweka umesimama au umekaa?
Nikukimbie kwa kipi kikubwa ulichokuwa nacho?
Kwa taarifa yako kigagula wewe sikuogopi na wala sikukohoi.
Umeushindwa wa Mungu wa binaadam utauweza?
Hahhahahhah......nichek mie.
Eti nakimbia, nyoooooooo kwa lipi ulilotenda nikukimbie kibaka wewe?
Mie hata ukasema mpaka uchanike mdomo....ndio kwaaanza nimesimama imara kama nguzo ya melini.
Ni wewe tu na jakamoyo yako.
Mwenye kuvamia masusu kwa mambo yasokuhusu.
Na utakufa kwa kijiba cha roho na kisokorokwinyo chako.

Haya, nimekuja sasa, chamba nione neno na tusi jipya.
Mwanakurungu we.
 
jambo limekwishavuma kulizuia huwez simba usonguruma,sifa yako uchokonozi
kwenda mwana wa kwenda mja laana usojua hata kujisafisha

kama una puma bhas kapumulie chooni nzi wakuungia mdomoni

haukufundwa bali ulichpopekwa bibi karudie koziiiiiiiiii
Hahahha......asofundwa huyo boss wenu mchambia steelwire.
Asejua kutongozwa, mwanamke stara na utulie posa iletwe nyumbani.
Posa ya kujitakia ina huuuu?
Yeye ndo atoe mahari, yeye ndo ajivishe pete la bati.
Yeye huyo huyo ndo atengeneze nyumba ya wakwe!!
Heheeheheheiyaaaaa.....chezea ndoa ya kujitakia wewe.
Hana nyimbo wala tungo.
Amebaki kama ndama wa kafara, asubiri kugeukia kibra achinjwe.

Wanaume wote mjini kamaliza.
Uchi wake ushakuwa kapu, ushakuwa jamvi ka wageni.
Ushaota sugu na magaga, kwanini asipige miluzi kuita wanaume?

Hahahahha.....huna Ba wala Be....utabaki uso umekuumuka kama boss wako mnuka papa.

Mwanamke hulka bibi.
Mwanamke staha.
Mwanamke kutulizana.
Kama kweli anajiamini kwanini hamuweki hadharani tumuone?
Amuweke basi....kama alikuwa na ubavu wa kuiba kwanini kupita nae hadharani aogope?

Hahaha.....chezea usungo wewe.
Msungo asieyeusokotela unyago.
Msungo kigego....msungo kisonoko.
Hahahaha......nacheka kwa dharau.
Chuntama usiye na kiama.

Juso limekuparama kama umeona mwanga.
Tulizeni vipapa wewe na msungo mwenzako.
Ya nini kujiweka roho juu juu kama nyama buchani?

Hahahaha......wapi Issa, mchaga wa kwanza kuogelea bwawani kwa papa la Dida.
Papa pana kama uwanja wa mieleka.
Mxyiuuuuuuuuuu......
Hata hujanikera bado
 
DaJane hatareee...umetisha duuuhh..sijawahi ona mapigo kama haya
 
Huyo anaejibu hoja zake nyepesi saana na hazina umakini. Amekuwa akirudiarudia maneno yaleyale, Mkuu hii fani ina wenyewe na ina raha zake. Huyo DaJane ni mahiri sana na anajua kupangilia mashambulizi. Hapo ndo utajua raha ya kuwa mswahili.
Hahahh.....chezea DaJane mie, mtoto wa Mwananyamala kwa Manjunju.
Mswahili tipical.
Sijakulia Masaki....wala sipajui Masaki ujue KWEZISHO
Hapa ni kuwanyoosha tu.
Hana jipya...hana hoja.
Atafute neno lingine
 
Huyo anaejibu hoja zake nyepesi saana na hazina umakini. Amekuwa akirudiarudia maneno yaleyale, Mkuu hii fani ina wenyewe na ina raha zake. Huyo DaJane ni mahiri sana na anajua kupangilia mashambulizi. Hapo ndo utajua raha ya kuwa mswahili.
Hahaaa huyu pambetyuu anaonekana ni mwepesi mno..hamuwezi Da Jane kabisa..ni level za juu sana
 
Yetu macho mkuu, ila mpaka sasa Dajane anaongoza 3 bila

Kwakwel Da Jane yuko juu.Heshima yako Da Jane.Kwenye UANDISH Nakupa A,Matumiz ya Alama za UANDISH A,Mpangilio wa Vichambo A, Kujibu Hoja A. .Yaan kama ni essay umepata zote kuanzia Introduction mpk Conclusion.Si kwa mifano iyo na mapicha picha ayo.Uyo mwingine bado sn akajipange upyaa.Ajirekebishe kila kitu mpk sasa ana 0/100.long live Da Jane.Nimekupenda bureee.Hawa masupa star ushuz wanatuharibia sn vijana wetu kwa kujifanya wapiganaj kumbe fekero tu.
 
heheheheeeeeeee to you bibiiiiiii
naona imekuuuumaaaa sana kuhusu dida kupendwa kama vepeee kunywa sumu bib ww hata ulete waganga lori zima hapa ndo penyewe utaishia kuhara humu jf
kapendwa bibi mwenzio ana,zake nahri sasa wew mdudu wa sikio mbona utadudu mwaka huu

Hahahha....naona washika vibendera mnahara huko Insta.
Naona Boss wenu kutwa kunipaisha.
Chezea mie weweeee.
Na bado.
huu mwanzo tu mwambie.
Muumuka sura wako mwambie amuue na mtoto wa Vicky kama alivyomuua wa Aisha ndio tutamuona mjanja.

Hahhahha......huuuuuuuuu
Bibi ni huyo Dida wenu asiyehesabu bikra,
Hata rinda la kudakia mavi limeshafumuliwa.
Kabaki mweupeeeeeee kama sanda.
Chezea watoto wa Magomeni wewe.
Wamemfumua fumuuuuuuuu......
 
Back
Top Bottom