Kweli ile old saying kwamba little learning is very hazardous ni kweli.
Basi nikubaliane na wewe, hujahamia jumla. Sasa umefunga ndoa Marekani halafu ukaja Tanzania, je wewe ni mtanzania ama mmarekani.
Kama ni mtanzania maana yake permanent residency(nationality) yako iko Tanzania hivyo sheria zitakazo govern ndoa yako ni za Tanzania bila kujali umefungia wapi ndoa. Maana Marekani ulifunga ndoa tu kama mtalii, temporary resident ama mtalii tu.
Kama wewe ni mmarekani na umefungia ndoa Tanzania, manaa yake wewe ni temporary resident ama mtalii, uko kwa muda tu kisha utarudi nchi yako hivyo sheria zitakazoongoza ndoa yako ni za mahala unapoishi kwa kudumu.
Kama umefunga ndoa nchi flani ambayo wewe sio mwananchi wake, yaani mtalii uko kwa muda na ndoa yako ikavunjika kabla hujaondoka kurudi kwenu, yaani muda wako wa kuishi nchi hiyo haujaisha basi sheria zitakazo govern ndoa yako ni za hiyo nchi ambayo uko mtalii.
Usichokielewa wewe ni kwamba laws governing ndoa lazima ziendane na permanent residency. Hilo halikwepeki. Kwa akili yako ni kwamba unataka ufunge ndoa ya kitalii halafu upewe permanent residency status na umeshaondoka kwenda kwenu.
Kwa msingi huo swali lako hata kama hukua umetaja uhamisho wa kudumu bado majibu yake ndio hayo. Kwa maana nyingine ni kwamba umeuliza swali la kijinga lisilo na msingi ila umejibiwa kitaalam.