Diddy anaogopa kuoa au kugawana mali? Ameachana na mpenzi wake tena

Diddy anaogopa kuoa au kugawana mali? Ameachana na mpenzi wake tena

View attachment 2594101
Rapa na Mfanyabiashara maarufu Sean Jean Combs a.k.a Puff Daddy, Diddy au Brother Love ametemana na mpenzi wake Young Miami aliyedumu nae kwa takriban miaka 2 tu.

Diddy amekuwa na kawaida ya kudate mabinti wadogo kiumri kwake lakini hakuna aliyewahi kufika nae hatua ya Ndoa. Amewahi pia kudate na Mastaa kama Cassie, Jeniffer Lopez, Cameron Diaz, Lori Harvey, Misa Hylton, Kim Porter, Sarah Chapman na wengine wengi.
Huyu ni rolu modo wa Diamond labda
 
Ndoa inakuwa transfered kila nchi utakayoenda.

Mfano muislam wa uarabuni ama Tanzania anaruhusiwa kuoa wake wanne kihalali na ndoa zao zinatambulika kisheria.

Ila muislam mwenye wake wanne akihamia kuishi marekani. Ndoa itakayotambulika ni moja tu. Hivyo ataombwa achague mmoja katika hao wake wanne nani atakuwa mke wake. Watatu wanaobaki sheria za marekani hazitawatambua kama wake zake.

Akigoma kufanya hivyo. Anashtakiwa kwa kuvunja sheria za marekani za ndoa ya mke mmoja
Samahani, Muislamu wa Marekani ina maana haruhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja!?
 
C
Marekebisho kidogo mkuu.

Hata Tanzania, muislamu alieoa wake wanne, sheria inamtambua mmoja tu na sio 4. Hao wengine 3 kwa sheria za Tanzania wanajulikana kama michepuko tu. Hawana haki zozote kisheria na wala hawatambuliki popote.

Wake 4 wanatambulika kwa sheria za kiislamu na sio sheria za nchi. Ikitokea mgogoro wa kisheria labda ama kifamilia hao 3 wataenda kwenye mabaraza ya kiislamu kwa maamuzi ila sio mahakama za kisheria.

Mfano, mzee umevuta, ukaacha wake 4. Yule wa ndoa anaetambulika kwenye cheti cha ndoa akiamua kukataa kutambua hao 3 akaenda mahakama za kiraia wale hawapati hata 100 ila akiamua kufuata sheria za kiislamu basi wataenda kwa mabaraza ya kiislamu na watagawiana mali kwa muongozo wa kiislamu.
Cheti hiko cha ndoa kinatolewa na nani!? Kama kinatolewa na mamlaka za dini, basi hata hao watatu waliobaki nao watakuwa na vyeti vyao. Unaweza kunieleza kwa nini cheti mathalani klichotolewa na mamlaka za dini kitambulike cha huyo mke wa kwanza na hao watatu waliobaki visitambulike wakati vimetolewa na mamlaka moja!? Hapa naona hauko sawa Mkuu.
 
Sasa hizo Mali mnabania mnadhani mtazikwa nazo au?

Kuzikwa nazo hatuzikwi nazo.

Ingekuwa mwanamke anazila peke yake maisha yote ingekuwa poa.

Tatizo mwanamke anaenda kuzila na mwanaume mwingine mlamba lips.

Mali wewe umezitafuta kwa jasho jingi ila blazameni anakuja kuzitumbua tu kwa nguvu ya kiuno.
 
Yeah,sure....inaumiza
 
C

Cheti hiko cha ndoa kinatolewa na nani!? Kama kinatolewa na mamlaka za dini, basi hata hao watatu waliobaki nao watakuwa na vyeti vyao. Unaweza kunieleza kwa nini cheti mathalani klichotolewa na mamlaka za dini kitambulike cha huyo mke wa kwanza na hao watatu waliobaki visitambulike wakati vimetolewa na mamlaka moja!? Hapa naona hauko sawa Mkuu.
Cheti cha ndoa ni cha serikali. Haijalishi kitatolewa na kanisa ama msikiti ama kwa mkuu wa wilaya.

Ndoa za wake wengi ni ndoa zinazotokana na kutambuliwa na misingi ya kidini ama kijamii ila sio kiserikali.

Mwinyi alikua na wake 2 ila Tanzania haikua na first ladies 2, ni mmoja tu.

Ukiwa na mke zaidi ya mmoja, anaetambuliwa kiserikali atakua mmoja tu.
 
Kiserikali ni mmoja, kwenye mirathi hao wengine mahakama zitawakataa wakati nao wana vyeti vya ndoa!?
 
Naona wewe ni mtu wa kubisha tu. Inaonesha hujui ulisemalo. Ndoa ni mkataba na mkataba unafuata sheria uliposaini huo mkataba unless umeuhamisha si usual residency!!!!!! Anabisha kiha tu
Wewe huna akili. Mkataba wa ndoa sio international contract. Ni national contract.

Kwamba ufunge ndoa Marekani halafu uje kuvunja ndoa Tanzania mahakama za Tanzania zianze kutafsiri sheria za Marekani sio?

Toka lini mahakama za Tanzania zikawa na kazi ya kutafsiri na kutoa hukumu kwa sheria za Marekani ama nchi nyingine?

Hivi hata shule ulienda kweli? Ukimaliza darasa la 7 kweli? Nina mashaka kama ulimaliza darasa la saba maana usingeuliza swali na la kipumbavu na kuendelea kubisha kitaahira.

Kabla hujabisha, jitahidi vitu basic tu ya unavyobishia uwe unavijua.

Sawa kafunge ndoa China halafu urudi Tanzania mkigombana na mkeo muende mahakama za Tanzania mkashitakiane kwa sheria za kichina.
 
Back
Top Bottom