Diddy anaogopa kuoa au kugawana mali? Ameachana na mpenzi wake tena

Wewe huna akili. Mkataba wa ndoa sio international contract. Ni national contract.

Kwamba ufunge ndoa Marekani halafu uje kuvunja ndoa Tanzania mahakama za Tanzania zianze kutafsiri sheria za Marekani sio?

Toka lini mahakama za Tanzania zikawa na kazi ya kutafsiri na kutoa hukumu kwa sheria za Marekani ama nchi nyingine?

Hivi hata shule ulienda kweli? Ukimaliza darasa la 7 kweli? Nina mashaka kama ulimaliza darasa la saba maana usingeuliza swali na la kipumbavu na kuendelea kubisha kitaahira.

Kabla hujabisha, jitahidi vitu basic tu ya unavyobishia uwe unavijua.

Sawa kafunge ndoa China halafu urudi Tanzania mkigombana na mkeo muende mahakama za Tanzania mkashitakiane kwa sheria za kichina.
Wewe ni Mpuuziiiiiii tu
 
Kiserikali ni mmoja, kwenye mirathi hao wengine mahakama zitawakataa wakati nao wana vyeti vya ndoa!?

Mkuu huu ni UONGO

Ndoa za mitala zinatambulika rasmi kwenye sheria ya ndoa ya Tz

Kwa muktadha huo wake wote wana haki kisheria ikiwemo kutambulika na kupata mirathi

Na kwenye mirathi sheria inasema kila mwanamke atapata mgao kulingana na mchango wake

Tatizo watu wanachanhanya na cheo cha First Lady

Kiutamaduni cheo cha First Lady ni kimoja tu hivyo Rais atawajibika kuchagua mke mmoja wapo awe First Lady sio lazima awe mke mkubwa
 
Safi sana. Nimependa hii clarification.
 
Pole zake huyo manzi, mara ya kwanza nilimuona kwenye series ya BMF S2E09... Her acting skills are worse
 
Mkuu huu ni UONGO

Ndoa za mitala zinatambulika rasmi kwenye sheria ya ndoa ya Tz

Kwa muktadha huo wake wote wana haki kisheria ikiwemo kutambulika na kupata mirathi

Na kwenye mirathi sheria inasema kila mwanamke atapata mgao kulingana na mchango wake

Tatizo watu wanachanhanya na cheo cha First Lady

Kiutamaduni cheo cha First Lady ni kimoja tu hivyo Rais atawajibika kuchagua mke mmoja wapo awe First Lady sio lazima awe mke mkubwa
Mkuu, mume akiwa mtumishi wa serikali, sheria inatambua mke yupi? Mfano NHIF wanatambua mke mmoja na watoto 4 tu na ndie huyo ikitokea msiba ama kafariki ndio mchango ama rambirambi za kufiwa na mwenza hutolewa, je wake 4 wote hupelekwa NHIF?
 
Tatizo la nchi tunatunga sheria na kanuni zinazo kinzana mkuu

Sheria ya ndoa inatambua ndoa ya mitala na wote wana haki sawa

Sijui kuhusu masharti ya NHF na wake wengi

Wanaharakati wanaipigia sana kelele hii sheria ifanyiwe marekebisho kadhaa na kulazimisha taasisi zingine zisikinzane nansheria hii

Tatizo bado tunatunia sheria nyingi tulizokopi ambazo zinapitwa na wakati kwa dunia ya sasa
 
Mkuu, mume akiwa mtumishi wa serikali, sheria inatambua mke yupi? Mfano NHIF wanatambua mke mmoja na watoto 4 tu na ndie huyo ikitokea msiba ama kafariki ndio mchango ama rambirambi za kufiwa na mwenza hutolewa, je wake 4 wote hupelekwa NHIF?
Navyofahamu NHIF inataka wategemezi wasizidi wa nne...ukiamua kuweka wake zako wote wa nne fresh tu ili mradi una vyeti vya ndoa...ila ina maana watoto wataikosa bima maana nafasi zitakua zimejaa
 
Naona watu wengi sikuhizi hawapendi ndoa ila pia nikiingia kwenye mitandao ya kijamii naona ndoa nyingi anahost mc gara b na wengine! Hao wanaooa hawapitagi huku nini😂😂
 
Na wote anaachana nao kwasababu wanalazimisha ndoa
Ili baada ya muda mfupi waombe talaka na kujipatia pasu ya mali za mume!
P Didy komaa, wachape tu, hakuna ndoa.

Asante sana Hakimi, hata kama uamuzi wako kama una ndugu ni hasara, lakini at least umezindua akili za men wengi
 
Back
Top Bottom