Si sahihi maana wenzetu wanafungia ndoa nchi ambayo inawafaa katika maisha yao. Mfano nchi moja huko uaarabuni, ukioa kila mmoja anatafuta vyake na mkitengana hakuna kugawana mali. Wengi wanafungia ndoa huko ili kukwepa kuibiana kiujanjaUkiwa tajiri Ndoa ni trap
Si sahihi maana wenzetu wanafungia ndoa nchi ambayo inawafaa katika maisha yao. Mfano nchi moja huko uaarabuni, ukioa kila mmoja anatafuta vyake na mkitengana hakuna kugawana mali. Wengi wanafungia ndoa huko ili kukwepa kuibiana kiujanja
Cheti cha ndoa ndicho muhimu. Maana mkitalikiana mngawana mali according to the country's law ya mlipofungia ndoa. Ndoa ni mkataba, hivyo haijalishi mahakama inayoamua ni ya wapi. Ndo maana ukitaka kufunga ndoa siku hizi lazima uchague nchi inayoendana na matakwa yako. Hili nimelifahamu wakati kijana wangu anataka kufunga ndoaNdoa inakuwa transfered kila nchi utakayoenda.
Mfano muislam wa uarabuni ama Tanzania anaruhusiwa kuoa wake wanne kihalali na ndoa zao zinatambulika kisheria.
Ila muislam mwenye wake wanne akihamia kuishi marekani. Ndoa itakayotambulika ni moja tu. Hivyo ataombwa achague mmoja katika hao wake wanne nani atakuwa mke wake. Watatu wanaobaki sheria za marekani hazitawatambua kama wake zake.
Akigoma kufanya hivyo. Anashtakiwa kwa kuvunja sheria za marekani za ndoa ya mke mmoja
Yes iko hivyo kama ulivyosema.Ndoa inakuwa transfered kila nchi utakayoenda.
Mfano muislam wa uarabuni ama Tanzania anaruhusiwa kuoa wake wanne kihalali na ndoa zao zinatambulika kisheria.
Ila muislam mwenye wake wanne akihamia kuishi marekani. Ndoa itakayotambulika ni moja tu. Hivyo ataombwa achague mmoja katika hao wake wanne nani atakuwa mke wake. Watatu wanaobaki sheria za marekani hazitawatambua kama wake zake.
Akigoma kufanya hivyo. Anashtakiwa kwa kuvunja sheria za marekani za ndoa ya mke mmoja
Sheria umesomea wapi?Cheti cha ndoa ndicho muhimu. Maana mkitalikiana mngawana mali according to the country's law ya mlipofungia ndoa. Ndoa ni mkataba, hivyo haijalishi mahakama inayoamua ni ya wapi. Ndo maana ukitaka kufunga ndoa siku hizi lazima uchague nchi inayoendana na matakwa yako. Hili nimelifahamu wakati kijana wangu anataka kufunga ndoa
Marekebisho kidogo mkuu.Ndoa inakuwa transfered kila nchi utakayoenda.
Mfano muislam wa uarabuni ama Tanzania anaruhusiwa kuoa wake wanne kihalali na ndoa zao zinatambulika kisheria.
Ila muislam mwenye wake wanne akihamia kuishi marekani. Ndoa itakayotambulika ni moja tu. Hivyo ataombwa achague mmoja katika hao wake wanne nani atakuwa mke wake. Watatu wanaobaki sheria za marekani hazitawatambua kama wake zake.
Akigoma kufanya hivyo. Anashtakiwa kwa kuvunja sheria za marekani za ndoa ya mke mmoja
Mimi siyo Mwanasheria, nikuulize swali dogo tu! Kwanini unataja uhamisho wa kudumu! Katika hoja yangu nimeeleza kuhusu residence ya wanandoa? Au wewe ni kati ya marafiki wa Joannah (waha) au unajadili kitu hujuiSheria umesomea wapi?
Ndo hata ufungie china, ukihamia Tanzania kwa uhamisho wa kudumu, permanent transfer ndoa yako inahamishiwa Tanzania na unaongozwa na sheria za Tanzania sio za China.
Ukioa Marekani, siku unahamia Tanzania jumla jumla sheria zitakazoamua na kulinda ndoa yako sio za Marekani, ni za Tanzania.
Ebu fafanua hapa maana naona unachanganya mfano wote wanne wana vyeti je ni upi mmoja anayetambulika?Marekebisho kidogo mkuu.
Hata Tanzania, muislamu alieoa wake wanne, sheria inamtambua mmoja tu na sio 4. Hao wengine 3 kwa sheria za Tanzania wanajulikana kama michepuko tu. Hawana haki zozote kisheria na wala hawatambuliki popote.
Wake 4 wanatambulika kwa sheria za kiislamu na sio sheria za nchi. Ikitokea mgogoro wa kisheria labda ama kifamilia hao 3 wataenda kwenye mabaraza ya kiislamu kwa maamuzi ila sio mahakama za kisheria.
Mfano, mzee umevuta, ukaacha wake 4. Yule wa ndoa anaetambulika kwenye cheti cha ndoa akiamua kukataa kutambua hao 3 akaenda mahakama za kiraia wale hawapati hata 100 ila akiamua kufuata sheria za kiislamu basi wataenda kwa mabaraza ya kiislamu na watagawiana mali kwa muongozo wa kiislamu.
Kweli ile old saying kwamba little learning is very hazardous ni kweli.Mimi siyo Mwanasheria, nikuulize swali dogo tu! Kwanini unataja uhamisho wa kudumu! Katika hoja yangu nimeeleza kuhusu residence ya wanandoa? Au wewe ni kati ya marafiki wa Joannah (waha) au unajadili kitu hujui
Naona wewe ni mtu wa kubisha tu. Inaonesha hujui ulisemalo. Ndoa ni mkataba na mkataba unafuata sheria uliposaini huo mkataba unless umeuhamisha si usual residency!!!!!! Anabisha kiha tuKweli ile old saying kwamba little learning is very hazardous ni kweli.
Basi nikubaliane na wewe, hujahamia jumla. Sasa umefunga ndoa Marekani halafu ukaja Tanzania, je wewe ni mtanzania ama mmarekani.
Kama ni mtanzania maana yake permanent residency(nationality) yako iko Tanzania hivyo sheria zitakazo govern ndoa yako ni za Tanzania bila kujali umefungia wapi ndoa. Maana Marekani ulifunga ndoa tu kama mtalii, temporary resident ama mtalii tu.
Kama wewe ni mmarekani na umefungia ndoa Tanzania, manaa yake wewe ni temporary resident ama mtalii, uko kwa muda tu kisha utarudi nchi yako hivyo sheria zitakazoongoza ndoa yako ni za mahala unapoishi kwa kudumu.
Kama umefunga ndoa nchi flani ambayo wewe sio mwananchi wake, yaani mtalii uko kwa muda na ndoa yako ikavunjika kabla hujaondoka kurudi kwenu, yaani muda wako wa kuishi nchi hiyo haujaisha basi sheria zitakazo govern ndoa yako ni za hiyo nchi ambayo uko mtalii.
Usichokielewa wewe ni kwamba laws governing ndoa lazima ziendane na permanent residency. Hilo halikwepeki. Kwa akili yako ni kwamba unataka ufunge ndoa ya kitalii halafu upewe permanent residency status na umeshaondoka kwenda kwenu.
Kwa msingi huo swali lako hata kama hukua umetaja uhamisho wa kudumu bado majibu yake ndio hayo. Kwa maana nyingine ni kwamba umeuliza swali la kijinga lisilo na msingi ila umejibiwa kitaalam.
Sio kweli mkuu,Ndoa inakuwa transfered kila nchi utakayoenda.