Diddy anaogopa kuoa au kugawana mali? Ameachana na mpenzi wake tena

Huyu ni rolu modo wa Diamond labda
 
Samahani, Muislamu wa Marekani ina maana haruhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja!?
 
C
Cheti hiko cha ndoa kinatolewa na nani!? Kama kinatolewa na mamlaka za dini, basi hata hao watatu waliobaki nao watakuwa na vyeti vyao. Unaweza kunieleza kwa nini cheti mathalani klichotolewa na mamlaka za dini kitambulike cha huyo mke wa kwanza na hao watatu waliobaki visitambulike wakati vimetolewa na mamlaka moja!? Hapa naona hauko sawa Mkuu.
 
Sasa hizo Mali mnabania mnadhani mtazikwa nazo au?

Kuzikwa nazo hatuzikwi nazo.

Ingekuwa mwanamke anazila peke yake maisha yote ingekuwa poa.

Tatizo mwanamke anaenda kuzila na mwanaume mwingine mlamba lips.

Mali wewe umezitafuta kwa jasho jingi ila blazameni anakuja kuzitumbua tu kwa nguvu ya kiuno.
 
Yeah,sure....inaumiza
 
Cheti cha ndoa ni cha serikali. Haijalishi kitatolewa na kanisa ama msikiti ama kwa mkuu wa wilaya.

Ndoa za wake wengi ni ndoa zinazotokana na kutambuliwa na misingi ya kidini ama kijamii ila sio kiserikali.

Mwinyi alikua na wake 2 ila Tanzania haikua na first ladies 2, ni mmoja tu.

Ukiwa na mke zaidi ya mmoja, anaetambuliwa kiserikali atakua mmoja tu.
 
Kiserikali ni mmoja, kwenye mirathi hao wengine mahakama zitawakataa wakati nao wana vyeti vya ndoa!?
 
Naona wewe ni mtu wa kubisha tu. Inaonesha hujui ulisemalo. Ndoa ni mkataba na mkataba unafuata sheria uliposaini huo mkataba unless umeuhamisha si usual residency!!!!!! Anabisha kiha tu
Wewe huna akili. Mkataba wa ndoa sio international contract. Ni national contract.

Kwamba ufunge ndoa Marekani halafu uje kuvunja ndoa Tanzania mahakama za Tanzania zianze kutafsiri sheria za Marekani sio?

Toka lini mahakama za Tanzania zikawa na kazi ya kutafsiri na kutoa hukumu kwa sheria za Marekani ama nchi nyingine?

Hivi hata shule ulienda kweli? Ukimaliza darasa la 7 kweli? Nina mashaka kama ulimaliza darasa la saba maana usingeuliza swali na la kipumbavu na kuendelea kubisha kitaahira.

Kabla hujabisha, jitahidi vitu basic tu ya unavyobishia uwe unavijua.

Sawa kafunge ndoa China halafu urudi Tanzania mkigombana na mkeo muende mahakama za Tanzania mkashitakiane kwa sheria za kichina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…