Diddy anaweza kuachiwa kati ya tar 8 mwezi wa 1 mwaka 2026

Diddy anaweza kuachiwa kati ya tar 8 mwezi wa 1 mwaka 2026

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
902
Reaction score
1,545
Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
 
Wamtoe tu huyo mjuba, ngoma zake tunazipenda tangu zama za bad boys recording bila kujali yaliyomsibu mpaka wakamshitaki na kumfunga
 
Mondi na Burna boy wanachekea chooni wakiona hii taarifa
 
Back
Top Bottom