American nigga JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 902 Reaction score 1,545 Oct 7, 2025 #1 Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Oct 7, 2025 #2 Habari njema sana kwa Burnaboy
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,082 Reaction score 8,368 Oct 7, 2025 #3 Hapo unamwambia nani?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Oct 7, 2025 #4 Atajua mwenyewe na dhambi zake, sisi tupo bize na kuwaangamiza wavaa majani huku kwetu.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Oct 7, 2025 #5 Wamtoe tu huyo mjuba, ngoma zake tunazipenda tangu zama za bad boys recording bila kujali yaliyomsibu mpaka wakamshitaki na kumfunga
Wamtoe tu huyo mjuba, ngoma zake tunazipenda tangu zama za bad boys recording bila kujali yaliyomsibu mpaka wakamshitaki na kumfunga
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Oct 26, 2025 #6 Mondi na Burna boy wanachekea chooni wakiona hii taarifa