Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

Diddy mpuuzi sana ,mtu bilionea halafu demu anaondoka unaenda kumpiga? Mika anasema si umuache aende? AKiondoka tafuta "PC ya kwenda" ishi nayo.
 
Control and power over your babes!
Ikizidi ndio hayo...
Wanadai kama ni chako kikienda kitarudi tu, kisiporudi siyo chako...
 
Control and power over your babes!
Ikizidi ndio hayo...
Wanadai kama ni chako kikienda litarudi tu, kisiporudi siyo chako...

yes ,if you love something let it go if it comes back it's yours!

Yaani niwe bilionea halafu mademu wanichanganye? Never Never! Angemuacha tu asepe alichofanya kumkimbiza na kumtoa kwenye lift na kumpiga namna ile ni upuuzi sana.
 
Diddy mpuuzi sana ,mtu bilionea halafu demu anaondoka unaenda kumpiga? Mika anasema si umuache aende? AKiondoka tafuta "PC ya kwenda" ishi nayo.
Ukisoma story za Diddy mitandaoni wadau wanaandika kwamba jamaa kawapa kichapo mabinti wengi sana, labda hii moja tu ya Cassie ndio imeletwa na ushahidi usio na mawaa. Huenda video zingine za kikatili zikaendelea kuvujishwa ili kuweka wazi machafu yake.
 
Yeah kwa upuuzi aliofanya hapo basi ana mabaya zaidi ya hayo.
 
Back
Top Bottom