Diddy aripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum kuepusha asijiue

Diddy aripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum kuepusha asijiue

Wahanga wengi walijipeleka kwake coz of fame and money! if he was broke hakuna ambaye angejipeleka kwake, ni kawaida ya binadamu ukishawaonyesha njia ya mafanikio wanakugeuka.
Nimekuelewa mkuu,ila ile video yake alivhokuwa anamfanyia yule mpenziwe uliiona?
 
View attachment 3100864

Rapa Sean Combs maarufu Diddy, ameripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum ili kumuepusha na uamuzi wa kujiua kutokana na kunyimwa dhamana baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa Utapeli, Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Utumikishaji Kingono.

Jarida la People limesema hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kwasababu Diddy aliyewekwa katika Gereza la Metropolitan Detention Center (MDC) huko Brooklyn, New York. yuko katika mshtuko tangu alipokamatwa na hali yake Kiakili bado haifahamiki.

Aidha, taarifa zinaeleza Gereza la MDC lina sifa mbaya ikiwemo mazingira machafu, ukatili kwa wafungwa wageni kutoka wafungwa waliokaa muda mrefu pamoja na kesi za kujiua.

Pia, soma: Diddy anyimwa dhamana na Mahakama, alitoa ofa ya bilioni 135
Matrix ni hatari.
 
naun
Mkakati wa Wazungu kudhoofosha wasanii weusi
naunga mkono hoja,wenye akili tunafahamu,Hawa whites hii program wanayokitambo sana,kuua black excellence...Hakuna watu wachafu kama wazungu,rejea Hugh Hefner wa playboy mansion alikuwa anaoa hadi vitoto under 18,Kuna hadi Binti wa kitanzania (halfcast wa kitanga na kizungu miaka ya mwanzoni mwa 2000 aliwahi pia kuolewa na huyu Babu,kwao ni hero ...Wameanza kuanza kukwamisha hadi miradi ya wasanii wanaotaka kuwekeza Africa mfano Akon anazinguliwa sana kwani hii imeonekana kuanza kuleta mwamko(Renaissance)kwa Jamii ya black Americans kuhusu fursa zilizopo Africa.Ngozi nyeupe siku zote ni adui ya mweusi...nasimama na Diddy kwenye hii vita...
 
Nimekuelewa mkuu,ila ile video yake alivhokuwa anamfanyia yule mpenziwe uliiona?
Wale walikuwa ni wapenzi, it's hard to tell walipishana nini hadi kufikia hatua hiyo, huenda aligundua baby wake anacheat! ni kwamba, siku ya kufa nyani miti yote huteleza... ndo hivyo, real hustler and a bilionea keshapotezwa.
 
😓Aisee
 
Diddy sio kinyamkera, yule ni real hustler, bilionea, umeona dhamana aliyoweka mezani? mengineyo ni ajali kazini tu.
Kuwa real hustler bilionea sio kigezo cha kuvunja sheria.

Na usifikiri mahakama na mapolisi wa USA wana njaa sana na wanahongeka kirahisi..

Hata uwe bilionea ukileta upumbavu pesa zako hazina msaada.
 
naun
naunga mkono hoja,wenye akili tunafahamu,Hawa whites hii program wanayokitambo sana,kuua black excellence...Hakuna watu wachafu kama wazungu,rejea Hugh Hefner wa playboy mansion alikuwa anaoa hadi vitoto under 18,Kuna hadi Binti wa kitanzania (halfcast wa kitanga na kizungu miaka ya mwanzoni mwa 2000 aliwahi pia kuolewa na huyu Babu,kwao ni hero ...Wameanza kuanza kukwamisha hadi miradi ya wasanii wanaotaka kuwekeza Africa mfano Akon anazinguliwa sana kwani hii imeonekana kuanza kuleta mwamko(Renaissance)kwa Jamii ya black Americans kuhusu fursa zilizopo Africa.Ngozi nyeupe siku zote ni adui ya mweusi...nasimama na Diddy kwenye hii vita...
Hugh hefner alikuwa avunji sheria yoyote
Alikuwa hadi ana kipindi kwenye TV akionesha maisha yake hayo
Je diddy alikuwa anarusha Freak Offs kwenye TV
 
Wewe njoo kwa wazungu, Halafu leta upumbavu wako wa kiafrika, udhanie Marekani ni ya baba yako.

Utanyoroshwaaa..!!!

USA, Lazima ufate sheria.

Mbona watu weusi kina Muhammad Ali wameacha legacy nzuri tu?

Kina Denzel Washington, Michael Jordan n.k Wana heshima zao na hawa bugudhiwi na mtu.

USA sio Afrika.

Elon musk na pesa zake zote anafata sheria halafu anatokea kimyamkera mmoja anataka kucheza na mkono wa sheria, Akidhania yeye ni mwamba sana!!

Sio kwa USA.
Fuatilia maelezo ya Denzel Washington alivokwepa mitego mingi ya 'wayahudi' wanaoendesha tasnia ya burudani yaani, media, muziki na hollywood na mawakala wao weusi ambao ndio hawa kina Diddy
ambao muda wao wa kutumika umeisha. Kuna ushetani na usaliti mwingi unaotumika kuwafanya wengi wakae kimya. Fuatilia maelezo ya Katt Williams. Jamie Fox , DMX wameyapitia na kusimulia . Ili kujiunga na wateule unaingizwa kufanya vitendo vitakavyotumika kukukwamisha yaani sikio lisizidi kichwa na ukianza kukiuka ya kwao yatakukuta ya DMX, Jamie Fox, Bill Cosby n.k. Kwa ufupi yapo mengi nyuma ya pazia na Diddy si shetani mkuu
 
Kuwa real hustler bilionea sio kigezo cha kuvunja sheria.

Na usifikiri mahakama na mapolisi wa USA wana njaa sana na wanahongeka kirahisi..

Hata uwe bilionea ukileta upumbavu pesa zako hazina msaada.
Sidhani kama unachoongea ndio kipo USA huyo Trump ana kesi nyingi za ukwepaki kodi na bado anagombea Urais..kesi alizonazo Trump angekua nazo hawa wengine wangekua ndani.
 
Ngoja tusubiri hukumu
mimi nilikuwa west coast
PAC Ni mwanangu alishawadiss sana hawa wana mambo ya ki waki.
 
Kwa kifupi Jamaa ana hali tete.
Kuoga ni mara 3 kwa wiki na kila siku kuamka saa 12 asubuhi na anafanya usafi wa chumba chake. Halafu Who is P Didy yaani Watanzania tuna huruma za kiboya sana kama ana makosa wacha sheria ifuate mkondo wake kama hana ataachwa huru. Lakini kwa mambo aliyoyafanya huyu sidhani kama atakuwa huru.
HERI MWANZO MBAYA KULIKO MWISHO MBAYA
 
Hugh hefner alikuwa avunji sheria yoyote
Alikuwa hadi ana kipindi kwenye TV akionesha maisha yake hayo
Je diddy alikuwa anarusha Freak Offs kwenye TV
haujui mengi kuhusu Hugh Hefner.All in all hiki wanachofanyiwa black celebrities and stars ni mwendelezo wa post war against black race.Hata Rkelly na wengine wengi huko nyuma ni mwendelezo wa hiki kitu.issue si Diddy issue ni black race Hawa literally wamekuwa ni subjects...
 
Kwann isiwe kwa Jordan Will Smith Dre Russel Simmons etc
 
The Whole industry ( Hollywood ) Iko hvy mbn.
Javier Garcia ( Boxer ) aliexpose yanayofanywa na wakuu wa maeneo mengi ktk secret society ya Bohemian, Club of Rome na wengine wengi juu ya ulawiti na sadaka za damu za watoto hasa wanaoibiwa au kupotea ghafla, Silaha za kibaolojia kwenye vyakula, madawa na manukato ila hakuna hata mmoja aliewajibishwa.
White super Macy
 
Back
Top Bottom