Msuli wa mbu
Senior Member
- May 4, 2021
- 146
- 485
Kwann isiwe kwa Jordan Will Smith Dre Russel Simmons etc
Hao mwisho wao haujafika, kwani kwenye kesi ya Michael Jackson ulijua kuwa R.kelly na Diddy watafuata mkuu.
Watu weusi inabidi tuamke hawa wenzetu(whites) hawataki future yetu iwe bright kwa vizazi vijavyo ili atakapotaja mtu yeyeyote mweusi huko mbeleni ionekani si mfano wa kuigwa alikuwa ana mwisho mbaya....., Na Happ ndio itakavyo kufa historia
ya mtu mweusi.
Watuu wanashabikia lakini hii ni mbaya.