DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Wahanga wengi walijipeleka kwake coz of fame and money! if he was broke hakuna ambaye angejipeleka kwake, ni kawaida ya binadamu ukishawaonyesha njia ya mafanikio wanakugeuka.Hakuna hakuna....acha awajibishwe tu
Nimekuelewa mkuu,ila ile video yake alivhokuwa anamfanyia yule mpenziwe uliiona?Wahanga wengi walijipeleka kwake coz of fame and money! if he was broke hakuna ambaye angejipeleka kwake, ni kawaida ya binadamu ukishawaonyesha njia ya mafanikio wanakugeuka.
Matrix ni hatari.View attachment 3100864
Rapa Sean Combs maarufu Diddy, ameripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum ili kumuepusha na uamuzi wa kujiua kutokana na kunyimwa dhamana baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa Utapeli, Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Utumikishaji Kingono.
Jarida la People limesema hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kwasababu Diddy aliyewekwa katika Gereza la Metropolitan Detention Center (MDC) huko Brooklyn, New York. yuko katika mshtuko tangu alipokamatwa na hali yake Kiakili bado haifahamiki.
Aidha, taarifa zinaeleza Gereza la MDC lina sifa mbaya ikiwemo mazingira machafu, ukatili kwa wafungwa wageni kutoka wafungwa waliokaa muda mrefu pamoja na kesi za kujiua.
Pia, soma: Diddy anyimwa dhamana na Mahakama, alitoa ofa ya bilioni 135
naunga mkono hoja,wenye akili tunafahamu,Hawa whites hii program wanayokitambo sana,kuua black excellence...Hakuna watu wachafu kama wazungu,rejea Hugh Hefner wa playboy mansion alikuwa anaoa hadi vitoto under 18,Kuna hadi Binti wa kitanzania (halfcast wa kitanga na kizungu miaka ya mwanzoni mwa 2000 aliwahi pia kuolewa na huyu Babu,kwao ni hero ...Wameanza kuanza kukwamisha hadi miradi ya wasanii wanaotaka kuwekeza Africa mfano Akon anazinguliwa sana kwani hii imeonekana kuanza kuleta mwamko(Renaissance)kwa Jamii ya black Americans kuhusu fursa zilizopo Africa.Ngozi nyeupe siku zote ni adui ya mweusi...nasimama na Diddy kwenye hii vita...Mkakati wa Wazungu kudhoofosha wasanii weusi
Wale walikuwa ni wapenzi, it's hard to tell walipishana nini hadi kufikia hatua hiyo, huenda aligundua baby wake anacheat! ni kwamba, siku ya kufa nyani miti yote huteleza... ndo hivyo, real hustler and a bilionea keshapotezwa.Nimekuelewa mkuu,ila ile video yake alivhokuwa anamfanyia yule mpenziwe uliiona?
😓AiseeWale walikuwa ni wapenzi, it's hard to tell walipishana nini hadi kufikia hatua hiyo, huenda aligundua baby wake anacheat! ni kwamba, siku ya kufa nyani miti yote huteleza... ndo hivyo, real hustler and a bilionea keshapotezwa.
Kuwa real hustler bilionea sio kigezo cha kuvunja sheria.Diddy sio kinyamkera, yule ni real hustler, bilionea, umeona dhamana aliyoweka mezani? mengineyo ni ajali kazini tu.
Hugh hefner alikuwa avunji sheria yoyotenaun
naunga mkono hoja,wenye akili tunafahamu,Hawa whites hii program wanayokitambo sana,kuua black excellence...Hakuna watu wachafu kama wazungu,rejea Hugh Hefner wa playboy mansion alikuwa anaoa hadi vitoto under 18,Kuna hadi Binti wa kitanzania (halfcast wa kitanga na kizungu miaka ya mwanzoni mwa 2000 aliwahi pia kuolewa na huyu Babu,kwao ni hero ...Wameanza kuanza kukwamisha hadi miradi ya wasanii wanaotaka kuwekeza Africa mfano Akon anazinguliwa sana kwani hii imeonekana kuanza kuleta mwamko(Renaissance)kwa Jamii ya black Americans kuhusu fursa zilizopo Africa.Ngozi nyeupe siku zote ni adui ya mweusi...nasimama na Diddy kwenye hii vita...
Fuatilia maelezo ya Denzel Washington alivokwepa mitego mingi ya 'wayahudi' wanaoendesha tasnia ya burudani yaani, media, muziki na hollywood na mawakala wao weusi ambao ndio hawa kina DiddyWewe njoo kwa wazungu, Halafu leta upumbavu wako wa kiafrika, udhanie Marekani ni ya baba yako.
Utanyoroshwaaa..!!!
USA, Lazima ufate sheria.
Mbona watu weusi kina Muhammad Ali wameacha legacy nzuri tu?
Kina Denzel Washington, Michael Jordan n.k Wana heshima zao na hawa bugudhiwi na mtu.
USA sio Afrika.
Elon musk na pesa zake zote anafata sheria halafu anatokea kimyamkera mmoja anataka kucheza na mkono wa sheria, Akidhania yeye ni mwamba sana!!
Sio kwa USA.
Sidhani kama unachoongea ndio kipo USA huyo Trump ana kesi nyingi za ukwepaki kodi na bado anagombea Urais..kesi alizonazo Trump angekua nazo hawa wengine wangekua ndani.Kuwa real hustler bilionea sio kigezo cha kuvunja sheria.
Na usifikiri mahakama na mapolisi wa USA wana njaa sana na wanahongeka kirahisi..
Hata uwe bilionea ukileta upumbavu pesa zako hazina msaada.
haujui mengi kuhusu Hugh Hefner.All in all hiki wanachofanyiwa black celebrities and stars ni mwendelezo wa post war against black race.Hata Rkelly na wengine wengi huko nyuma ni mwendelezo wa hiki kitu.issue si Diddy issue ni black race Hawa literally wamekuwa ni subjects...Hugh hefner alikuwa avunji sheria yoyote
Alikuwa hadi ana kipindi kwenye TV akionesha maisha yake hayo
Je diddy alikuwa anarusha Freak Offs kwenye TV
Kwann isiwe kwa Jordan Will Smith Dre Russel Simmons etchaujui mengi kuhusu Hugh Hefner.All in all hiki wanachofanyiwa black celebrities and stars ni mwendelezo wa post war against black race.Hata Rkelly na wengine wengi huko nyuma ni mwendelezo wa hiki kitu.issue si Diddy issue ni black race Hawa literally wamekuwa ni subjects...
Trump Alisha chukuliwa hatua za kisheria sio kwamba aliachwa tu.Sidhani kama unachoongea ndio kipo USA huyo Trump ana kesi nyingi za ukwepaki kodi na bado anagombea Urais..kesi alizonazo Trump angekua nazo hawa wengine wangekua ndani.
devil worshippers wote lazima waishie kwenye majutoMwisho wa hawa watu huwa hivyo na akina Diamon itakuwa mambo kama hayo