Msuli wa mbu
Senior Member
- May 4, 2021
- 146
- 485
Kwann isiwe kwa Jordan Will Smith Dre Russel Simmons etc
Kwenye sekta ya burudani na michezo huko majuu blacks wana kimbiza sasa kama wanatumia kigezo hicho kufanya unyanyasaji sheria lazm ichukue mkondo wakeHao mwisho wao haujafika, kwani kwenye kesi ya Michael Jackson ulijua kuwa R.kelly na Diddy watafuata mkuu.
Watu weusi inabidi tuamke hawa wenzetu(whites) hawataki future yetu iwe bright kwa vizazi vijavyo ili atakapotaja mtu yeyeyote mweusi huko mbeleni ionekani si mfano wa kuigwa alikuwa ana mwisho mbaya....., Na Happ ndio itakavyo kufa historia
ya mtu mweusi.
Watuu wanashabikia lakini hii ni mbaya.
Kwenye sekta ya burudani na michezo huko majuu blacks wana kimbiza sasa kama wanatumia kigezo hicho kufanya unyanyasaji sheria lazm ichukue mkondo wake
Cassie alitoka kuliwa kwa jamaa ambae amemuoa kwa sasa Diddy akawa amekasirikaWale walikuwa ni wapenzi, it's hard to tell walipishana nini hadi kufikia hatua hiyo, huenda aligundua baby wake anacheat! ni kwamba, siku ya kufa nyani miti yote huteleza... ndo hivyo, real hustler and a bilionea keshapotezwa.
Upo sahihi vitu wanavyofanya white people ni zaidi ya alivyofanya R Kelly wao sio walengwa wakuu wa hizo mambo..haujui mengi kuhusu Hugh Hefner.All in all hiki wanachofanyiwa black celebrities and stars ni mwendelezo wa post war against black race.Hata Rkelly na wengine wengi huko nyuma ni mwendelezo wa hiki kitu.issue si Diddy issue ni black race Hawa literally wamekuwa ni subjects...
Huyo mpaka mafuta lazima akaungane na Kels - Shai Taun.View attachment 3100864
Rapa Sean Combs maarufu Diddy, ameripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum ili kumuepusha na uamuzi wa kujiua kutokana na kunyimwa dhamana baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa Utapeli, Usafirishaji Haramu wa Binadamu na Utumikishaji Kingono.
Jarida la People limesema hatua hiyo imechukuliwa kama tahadhari kwasababu Diddy aliyewekwa katika Gereza la Metropolitan Detention Center (MDC) huko Brooklyn, New York. yuko katika mshtuko tangu alipokamatwa na hali yake Kiakili bado haifahamiki.
Aidha, taarifa zinaeleza Gereza la MDC lina sifa mbaya ikiwemo mazingira machafu, ukatili kwa wafungwa wageni kutoka wafungwa waliokaa muda mrefu pamoja na kesi za kujiua.
Pia, soma: Diddy anyimwa dhamana na Mahakama, alitoa ofa ya bilioni 135
Aisee☹️Hao mwisho wao haujafika, kwani kwenye kesi ya Michael Jackson ulijua kuwa R.kelly na Diddy watafuata mkuu.
Watu weusi inabidi tuamke hawa wenzetu(whites) hawataki future yetu iwe bright kwa vizazi vijavyo ili atakapotaja mtu yeyeyote mweusi huko mbeleni ionekani si mfano wa kuigwa alikuwa ana mwisho mbaya....., Na Happ ndio itakavyo kufa historia
ya mtu mweusi.
Watuu wanashabikia lakini hii ni mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliliwa mkundu pamoja na yule mbunge wa Moro ambaye ni Meneja wake
Kuna kitu unakijua sio bure.🐷The Whole industry ( Hollywood ) Iko hvy mbn.
Javier Garcia ( Boxer ) aliexpose yanayofanywa na wakuu wa maeneo mengi ktk secret society ya Bohemian, Club of Rome na wengine wengi juu ya ulawiti na sadaka za damu za watoto hasa wanaoibiwa au kupotea ghafla, Silaha za kibaolojia kwenye vyakula, madawa na manukato ila hakuna hata mmoja aliewajibishwa.
White super Macy
Kabisa na wanapesa kumzidi huyu mshenzi diddyWewe njoo kwa wazungu, Halafu leta upumbavu wako wa kiafrika, udhanie Marekani ni ya baba yako.
Utanyoroshwaaa..!!!
USA, Lazima ufate sheria.
Mbona watu weusi kina Muhammad Ali wameacha legacy nzuri tu?
Kina Denzel Washington, Michael Jordan n.k Wana heshima zao na hawa bugudhiwi na mtu.
USA sio Afrika.
Elon musk na pesa zake zote anafata sheria halafu anatokea kimyamkera mmoja anataka kucheza na mkono wa sheria, Akidhania yeye ni mwamba sana!!
Sio kwa USA.
Huyo jela inamhusuKabisa na wanapesa kumzidi huyu mshenzi diddy
Na wahuni watamtindua huko gerezan na yeyeHuyo jela inamhusu
View attachment 3100864