Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono

Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono

Maisha fake yanawagaharimu watu wengi sana.

Mafanikio sio rahisi kihivyo hapa duniani.
Jamaa kuna mstari hakutakiwa kuuvuka ila ndiyo hivyo tena hatuwezi kubadili chochote!
Niishie hapa!
 
Mara nyingi stories za wasanii na watu maarufu zimekuwa jambo la kawaida lakn ukwel zina tufundisha sisi vijana kuishi kwa utaratibu unaopaswa na kuonekana ni wema, maana haya yanawakuta wenye nguvu kiuchumi je wewe, na mimi tukifika uzeeni tutaweza kukabiliana na vita vitakavyo ibuka. Jifunze ishiiii
 
Msomali kwenye moja na mbili tena
FB_IMG_1716895429763.jpg
 
Back
Top Bottom