Mara nyingi stories za wasanii na watu maarufu zimekuwa jambo la kawaida lakn ukwel zina tufundisha sisi vijana kuishi kwa utaratibu unaopaswa na kuonekana ni wema, maana haya yanawakuta wenye nguvu kiuchumi je wewe, na mimi tukifika uzeeni tutaweza kukabiliana na vita vitakavyo ibuka. Jifunze ishiiii