The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
kwa kigezo kipi labda mkuu?Deschamps ni mmoja ya makocha wabovu huenda yakawa mashindano yake ya mwisho kufundisha France
France kwa sasa wana wachezaji wazuri sana lakini wanacheza ovyo sana,kocha ameshindwa kutengeneza timu nzurikwa kigezo kipi labda mkuu?
nina mashaka na ufahamu wakoLemar ni kiungo na martial ni mshambuliaji
Kweli kabisaFrance kwa sasa wana wachezaji wazuri sana lakini wanacheza ovyo sana,kocha ameshindwa kutengeneza timu nzuri
Mkuu umeongea vizuri ila binafsi nimekua nikimfuatilia deschamps jamaa kiukweli ana misimamo yake especially linapokuja suala la tactics,ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya ukocha,sema bahati ndio inamuachaga nyuma,yaliyotokea kwa martial ni sawa yaliyotokea ujerumani kwa Gotze,martial kwa makocha wengi anaweza akakosa namba,sema kwakua yupo kwenye timu ya mashabiki wenye kupenda vyao tu ndio mana unasikia kelele zote hizi,laiti mngepata kumfatilia fekir,mbape na thauvin lazima mngekubaliana na deschamps,kwa upande wa giroud,france ina miss kariba ya huyu jamaa ana mu offer kocha option nyingi kwa kubadilisha mashambulizi,pia ana rekodi yake ya ufaransa sio mchezo!
Wampe ARSENE WENGER hiyo timu itakuwa bora sana,maana mzee hizi timu za taifa ndio zinamfaa kwani hazihitaji kununua wachezaji yeye ni kupoint tu na mzee ana jicho sanaKweli kabisa
Wapo wachezaji 23 ni kikosi kamili hiko.Naona ni kikosi cha awali
Ni kweli huu ndio mwisho wa didier.. France wamekuwa wakishindwa kumaliza game mapema wkt uwezo wanao.France kwa sasa wana wachezaji wazuri sana lakini wanacheza ovyo sana,kocha ameshindwa kutengeneza timu nzuri
Nimeanza kuishabia les blues mwaka 1998. Mtu anapouliza swali, Kwani hastahili kujibiwa?hahahaha halafu anasema eti ameanza kuishabikia tangu 1998 hahahhaa
Robo tu? Umetuchoka sana mkuu.France hata robo fainali haiingii
Huyu Giroud anarukaruka tuUnamuacha Lacazete unabeba Giroud??
sawa mkuuEndeleeni kujidanganya Giroud kwenye timu ya taifa ni hatari sana amefunga magoli mengi sana kocha anamuamini sana tofauti na sisi tunavyomchukulia.
Rudi nyumbani kumenogaFrance hata robo fainali haiingii
Rudi nyumbani kumenogaFrance hata robo fainali haiingii
payet majeruhi , mchezaji aliyeachwa labda Ni lacazzeteKuachwa kwa payet na adrien rabiot,ndo kumeniuma zaidi.
Martial angeitwa badala ya nani??kwa huyu dogo kutoitwa amestahili.France imekamilika bhana pale mbele
Duh, walikuwa mabingwa baadaeHawa jamaa wakichomoka hata makundi itakuwa bahati tu
Kigagula.Giroud ni mchawi, chelsea hapati namba ila hadi leo anaitwa
Didier deschams yuko vizuri saanaFrance kwa sasa wana wachezaji wazuri sana lakini wanacheza ovyo sana,kocha ameshindwa kutengeneza timu nzuri