Didier Deschamps kwanini umemuacha Anthony Martial?

Didier Deschamps kwanini umemuacha Anthony Martial?

Mkuu umeongea vizuri ila binafsi nimekua nikimfuatilia deschamps jamaa kiukweli ana misimamo yake especially linapokuja suala la tactics,ana uwezo mkubwa sana kwenye masuala ya ukocha,sema bahati ndio inamuachaga nyuma,yaliyotokea kwa martial ni sawa yaliyotokea ujerumani kwa Gotze,martial kwa makocha wengi anaweza akakosa namba,sema kwakua yupo kwenye timu ya mashabiki wenye kupenda vyao tu ndio mana unasikia kelele zote hizi,laiti mngepata kumfatilia fekir,mbape na thauvin lazima mngekubaliana na deschamps,kwa upande wa giroud,france ina miss kariba ya huyu jamaa ana mu offer kocha option nyingi kwa kubadilisha mashambulizi,pia ana rekodi yake ya ufaransa sio mchezo!
Kweli kabisa
Wampe ARSENE WENGER hiyo timu itakuwa bora sana,maana mzee hizi timu za taifa ndio zinamfaa kwani hazihitaji kununua wachezaji yeye ni kupoint tu na mzee ana jicho sana
 
France kwa sasa wana wachezaji wazuri sana lakini wanacheza ovyo sana,kocha ameshindwa kutengeneza timu nzuri
Ni kweli huu ndio mwisho wa didier.. France wamekuwa wakishindwa kumaliza game mapema wkt uwezo wanao.
Rejea fainal ya EURO.. Na hizo lawama huwezi kuwapa players ila kocha na benchi lake.. Timu inakosa umakini.
 
hahahaha halafu anasema eti ameanza kuishabikia tangu 1998 hahahhaa
Nimeanza kuishabia les blues mwaka 1998. Mtu anapouliza swali, Kwani hastahili kujibiwa?
Kwani tangu Les Bleus wameipoteza ndoo ya Europe,Kikosi hakijafanyiwa mabadiliko?
Nimeuliza hivi; Kante ni sub au ni first kwa sasa?
Nahitaji kujua.
 
Kuachwa kwa payet na adrien rabiot,ndo kumeniuma zaidi.

Martial angeitwa badala ya nani??kwa huyu dogo kutoitwa amestahili.France imekamilika bhana pale mbele
payet majeruhi , mchezaji aliyeachwa labda Ni lacazzete
 
Back
Top Bottom