TANZIA Diego Maradona afariki dunia

Ilikuwa mwaka 1986 nchini Mexico. Nadhani kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Uingereza.

Maradona aliwalamba chenga Waingereza kuanzia katikati ya uwanja hadi akaenda kucheza na nyavu.

Hapo ni baada ya goli la mkono wa Mungu.

Mwaka 1986 ulikuwa ni mwaka wa Argentina.

 
Kwani kuna Maradona wangapi?...I thought he died earlier this year. Au ile ilikuwa njozi?[emoji848]
 
Rest in peace,el mejor jugador del historia DIEGO ARMANDO MARADONA, ila katika football world ataendelea kuishi mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…