TANZIA Diego Maradona afariki dunia

TANZIA Diego Maradona afariki dunia

Rest in peace Diego Maradona

Nachukua fursa hii kumpa pole rafiki yangu Nape Nnauye kufuatia kifo cha muasisi wa kaulimbiu aliyopenda kuitumia ya " goli la mkono" au mkono wa Mungu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kuishi maisha yanayompendeza Allah ni kitu bora sana.. Ila pumzi ndo zinatuadaisha kwa kujiona kuwa bado tunatamba na tutaishi muda mrefu..
Ujana unatuzuzua vya kutosha mno..
Sijui safar yangu mie itakuwaje [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Pele mwenye umri wa miaka 80 anatoa pole katika msiba wa Maradona aliyefariki akiwa na umri wa miaka 60.
 
Mkono wa mungu umekatika leo.

Pole za dhati ziwafikie wote wanaomini, kutekeleza na kusherehekea magoli ya mkono wa mungu.

This is a bad omen for you.

R I P Diego Maradona.
 
Pale maradona anapotajwa kwenye Uzi wa kipumbavu
 
Kila nafsi ina waqt na sababu zake za kuondoka anabaki kuwa mmoja kati ya manahodha wenye mafanikio ya kuongoza timu zao katika kombe la dunia na kuweza kunyanyua kwapa.
 
Back
Top Bottom