nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Waziri wa home affairs?Yupo bussy kwa mganga sasa hivi anavunja nazi na kukamata manyanga, kusaka uteuzi wa mkuu.
Hahahaaaa....... msalimie Halima James Mdee!We jamaa huwa unalipwa kuandika humu JF?Kila muda unaanzisha uzi,hata kama ni pumba ilimradi umeandika!
Jina lake jipya ni Delilah James Mdee.Hahahaaaa....... msalimie Halima James Mdee!