Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

M.llorente,M.llorente,Morata......Liverpool walicheza Mpira mkubwa sana. nawapa pongezi .....sema magoli ya wijnaldum na firmino hayakutosha kuibeba Liverpool mgongoni mbele ya mashabiki wake ambao Jana walizima mziki baada ya matokeo kuwa ndivyo sivyo,eti huwa wanashangilia mwanzo mwishooo lakini Jana da!!!! poleni sana wafuasi wa kloppy.
 
Wahuni wamechinja jogoo la albadir bila kudhurika😂😂😂
 
Dada punguza munkari hiyo mimba sijakupa mimi

Pumbavu huu ni mpira habari za ramli mpelekee bibi ako


Mwanangu umeona eeeh

Liver wapo overrated sana

Sema inawachezaji fulani wana split ya hatari

Wanacheza kwa nguvu na upepo ulikuwa upande wao

Wana bahati upepo umegeuka mwishoni mwa ligi otherwise wasingeliona hilo kombe.
 
Haahaaahaaaaaaaaa...
Dah mkubwa inaelekea ulikuwa unamsubiri jamaa kwa hamu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaaahaaaaaaaaa...
Dah mkubwa inaelekea ulikuwa unamsubiri jamaa kwa hamu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa nilimsubiri kwa hamu sana,

Sisi wengine tunajua huu ni mpira hata kama tukiongelea kiupande hatukomazi shingo,

Kuna wakati mpira huwa unaiendea timu vizuri inakuwa inashinda hata kama ni ya kawaida sana,

Sasa mwamba tulimwambia mpira ule na wale jamaa ni wahuni sana wanakaza mpaka damu na ameona,

Liver timu ya kawaida sema ndo hivyo upepo ulikuwa upande wake.
 
Mkuu kwa sasa majibu wameyapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sentensi mbili za mwisho zimebeba hoja nzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kile kichapo cha jana ni cha kiheshima sana, sijakishuhudia kwa muda mrefu sana Anfield. Jamaa walikuwa so composed.

Ingekuwa timu zenye papara ile game ingeisha mapema.
Atletico nimewatazama sana japo Game ya jana niliicheki kipindi cha kwanza tu.

Ni ukweli usiopingika, Atletico jana alikuwa anatoa draw ya 0-0 ama ya 1-1.

Hakuna mwenye akili timamu angeweza kusema Liverpool anaibuka goli 2-0, 3-1 kwa watu ambao wana nidhamu ktk defenc kama Atletico.

Kule La Liga ni vile tu kwamba wanajuana. Hata zile alizopigwa 3-0 na Juve msimu uliopita ni bahati tu haikuwa yao.

Simeon anajua saaana kuwatuliza vijana wake na kuwaambia wafanye nini. Game zinahitaji utulivu Atletico ni mzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Liver ya sasa sio bora kama ile akina Gerald, Torres, Rise n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliandaka niandike hivi ila nikafuta, huu upepo ungegeuka mapema au katikati ya League hakika kombe wangelisikia tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liver kule mbele hakuna kitu, labda zile fujo za Sadio Mane kukimbia kimbia, Mane kiwango chake hajaachana na Morrison wa Yanga.

Liver ashukuru amekutana na Atletico ambayo kwa sehemu flani haina visiki kama zamani.

Alikuwepo Milanda na Godin Mkuu, hawa wahuni walishindikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mane ni overrated hana tofauti na balama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…