jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Napoli vs who?
Droo ya anfield ilikuwa inamtoa liver kwenye mashindano?Napoli alimfunga livepool kwake na akatoa droo aanfield
Droo ya anfield ilikuwa inamtoa liver kwenye mashindano?
Napoli alimfunga livepool kwake na akatoa droo aanfield
Droo ya anfield ilikuwa inamtoa liver kwenye mashindano?
Mkuu usichangie kwa hisia, Ni hivi Simeone hajawahi fungwa nyumbani kwenye knockout stages za UEFA na hapo amefungwa goli mbili tu kwenye mechi 16.Kwani si bado mechi nyingine?
Kama ndo hivi basi simeone ni kiboko ya kila mtu..
Maana alimfunga juve home kwenda away kala kibano kapigwa na Madrid final kama 2 za UEFA..
Halafu hilo kombe la Audi nalo kombe? Si linakuwaga kipindi wachezaji wameenda likizo? So wanapanga vitoto tu..
Tusubiri mechi ya pili week zijazo apo then tutaongea..
Barca wana shida kwenye defence hilo linafahamika ila Atleti sio wepesi kama unavyodhani. Round 2 Gimenez na Trippier watakuwa wamerudi, felix pia kwahiyo basi watakalopaki sio la ulimwengu huu na hapo wakipata kagoli kamoja ndio kwaheri.Barca na Messi walifunga 3 pale camp now ila walivyokuja anfield kila mtu anajua nini kiliwakuta.
Tupo half time wameshinda kwao goli mpoja bila nasubili thread yako nyingine baada ya wiki 2 ikiisuppport hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi linganisha defence ya barca na atleti haupo serious, misimu 5 mfululizo tuzo ya Clean sheets call it Zamora trophy inaends Atletico Madrid kwa kuruhusu mabao machache sana.Kwani kwa barca ilikuwaje? Kuzuia kufungwa na kupata goli nne, kumbuka huyo atletico kwa barca ni mchumba tu
Mbona kamtungua bao 3 juzi hapa hata mwezi haujaisha au umesahau??Huyo atletico kinachomshinda kumfunga barca huko spain ni nini?
👊👊👊El cholo ni mwamba katika soka la kujilinda! Lakini naimani game ya 2 itamuwia ugumu mnooo kule Anfield.
Halafu makombe hawapati, kwahiyo wewe huamini kama liver atapita?Huwezi linganisha defence ya barca na atleti haupo serious, misimu 5 mfululizo tuzo ya Clean sheets call it Zamora trophy inaends Atletico Madrid kwa kuruhusu mabao machache sana.
Kwahiyo ni rahisi kumfunga Barca magoli mengi kuliko Atletico hasa kwa counter attack.
Unachopaswa kufahamu liver anaenda kupitaHata kama haikumtoa kwahiyo hakutaka kushinda si ndio?
Unachoambiwa hapo kwamba inawezekana kabisa kutoshinda anfild
Na kama unaikumbuka mechi liverpool wenyewe ndo waliomba droo
Wahuni bila makombe??? Upuuzi mtupu, kila mtu ashinde kwakeUtajibu utapopiga on target ziro kwako ndio utaijua atletico ya wahuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri mambo, hata ATM wanajua kua Barcelona walikiashwa so hawawezi kwenda kizembe hii ngoma bado ngumu pande zote hasa Liverpool kuzuia wasifungwe wkt huo wapate goli mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Makombe gani hawapati? Toka simeone Amefika Atletico wana makombe 6 na fainali zaidi ya 10 hao liver wana makombe mangapi katika muda huo??Halafu makombe hawapati, kwahiyo wewe huamini kama liver atapita?
Kwani kwa barca ilikuwaje? Kuzuia kufungwa na kupata goli nne, kumbuka huyo atletico kwa barca ni mchumba tu
Mpira upo kwa washabiki wasioipenda liver kuamini anatolewa?Mpira hauko hivyo
Never underestimate JK mkuu, hao wahuni utawakataa tu, huyo diego ana miaka mingapi atletico na makombe mangapi na JK ana miaka mingapi liver na makombe mangapi? Tofauti ya DS na JK ni moja tu DS akiingia fainali hata tatu mfululizo hachukui ila JK wa liver akija fainali hii akakosa basi ijayo hakuachi, alikosa UCL vs madrid akachukua vs spurs, alikosa EPL vs city sasa anabeba, level za DS ni europa hukoMakombe gani hawapati? Toka simeone Amefika Atletico wana makombe 6 na fainali zaidi ya 10 hao liver wana makombe mangapi katika muda huo??
Liver ni timu ya kawaida tu iliobebwa na usajili wa bei kubwa ila atletico imejengwa na average players wasio na majina wanaojituma kwa nguvu zote.
Liver inaweza kupita of course but never underestimate simeone or Atletico kisa liver imepata mafanikio ya ghafla. Timu ina miaka 30 haina ligi alafu kelele kibao utadhani nyie ni elite team!!
EPL fanboys mnafurahisha sana