Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Kwani si bado mechi nyingine?
Kama ndo hivi basi simeone ni kiboko ya kila mtu..
Maana alimfunga juve home kwenda away kala kibano kapigwa na Madrid final kama 2 za UEFA..

Halafu hilo kombe la Audi nalo kombe? Si linakuwaga kipindi wachezaji wameenda likizo? So wanapanga vitoto tu..

Tusubiri mechi ya pili week zijazo apo then tutaongea..
Mkuu usichangie kwa hisia, Ni hivi Simeone hajawahi fungwa nyumbani kwenye knockout stages za UEFA na hapo amefungwa goli mbili tu kwenye mechi 16.

Ndio team yenye clean sheet nyingi zaidi baada ya real madrid kwenye UEFA knockouts

Mind you huyo madrid hajawahi kushinda dhidi ya Atletico akiwa nyumbani UEFA alidroo nyingine alipigwa mbili.

Alafu final hizo mbili Real Madrid alishinda baada ya extra time na penalty sio kwa open play .

last encounter ya hawa watu UEFA wote tuliona Atletico akimpiga 4 kwenye final ya Super cup so sio wanyonge kama unavyotaka kuaminisha.

Don't underrate him bruh
 
Barca na Messi walifunga 3 pale camp now ila walivyokuja anfield kila mtu anajua nini kiliwakuta.
Tupo half time wameshinda kwao goli mpoja bila nasubili thread yako nyingine baada ya wiki 2 ikiisuppport hii hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Barca wana shida kwenye defence hilo linafahamika ila Atleti sio wepesi kama unavyodhani. Round 2 Gimenez na Trippier watakuwa wamerudi, felix pia kwahiyo basi watakalopaki sio la ulimwengu huu na hapo wakipata kagoli kamoja ndio kwaheri.

Knockout rounds ni uzoefu tu sio ubora wa kikosi
 
Kwani kwa barca ilikuwaje? Kuzuia kufungwa na kupata goli nne, kumbuka huyo atletico kwa barca ni mchumba tu
Huwezi linganisha defence ya barca na atleti haupo serious, misimu 5 mfululizo tuzo ya Clean sheets call it Zamora trophy inaends Atletico Madrid kwa kuruhusu mabao machache sana.

Kwahiyo ni rahisi kumfunga Barca magoli mengi kuliko Atletico hasa kwa counter attack.
 
Huyo atletico kinachomshinda kumfunga barca huko spain ni nini?
Mbona kamtungua bao 3 juzi hapa hata mwezi haujaisha au umesahau??

Kiufupi Barca mara zote akikutana na atleti UEFA anatolewa, atleti wapo vizuri kwenye knockout competitions.

Na hata la liga wakifungwa ni low margins ila huwezi ona inapigwa cjui 4 au 5 kama Real akikutana na Barca!! Btw mara zote wakikutana Messi ndio huamua mechi ila sio kwamba wame outplay atleti hilo halitokaa litokee.
 
Huwezi linganisha defence ya barca na atleti haupo serious, misimu 5 mfululizo tuzo ya Clean sheets call it Zamora trophy inaends Atletico Madrid kwa kuruhusu mabao machache sana.

Kwahiyo ni rahisi kumfunga Barca magoli mengi kuliko Atletico hasa kwa counter attack.
Halafu makombe hawapati, kwahiyo wewe huamini kama liver atapita?
 
Mkuu nadhani Liverpool huifahamu ,
Na kama unaifahamu basi unaifahamu kidogo

Ukitaka kuifahamu vzr [emoji116]

Ref miracle of instanbull ,usiishie hapo ref FA final 2006 vsWEST HAM

Achana na hii comeback aliyofanyiwa barca juzi .Barca ambayo haina beki yaani hii comeback ya kitoto kabs kuna comeback ilifanywa mwaka 2005 kule Instanbull mbele ya AC MILAN iliyo na kila aina ya mchezaji ambao Wanastahili sifa .
Na cha kustaajabisha LIVERPOOL ilikuwa na average players kabisaa na hata lig(EPL) nakumbuka walimaliza nafasi ya 6 au 5 kama sijakosea
Usikariri mambo, hata ATM wanajua kua Barcelona walikiashwa so hawawezi kwenda kizembe hii ngoma bado ngumu pande zote hasa Liverpool kuzuia wasifungwe wkt huo wapate goli mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu makombe hawapati, kwahiyo wewe huamini kama liver atapita?
Makombe gani hawapati? Toka simeone Amefika Atletico wana makombe 6 na fainali zaidi ya 10 hao liver wana makombe mangapi katika muda huo??

Liver ni timu ya kawaida tu iliobebwa na usajili wa bei kubwa ila atletico imejengwa na average players wasio na majina wanaojituma kwa nguvu zote.

Liver inaweza kupita of course but never underestimate simeone or Atletico kisa liver imepata mafanikio ya ghafla. Timu ina miaka 30 haina ligi alafu kelele kibao utadhani nyie ni elite team!!

EPL fanboys mnafurahisha sana
 
Never underestimate JK mkuu, hao wahuni utawakataa tu, huyo diego ana miaka mingapi atletico na makombe mangapi na JK ana miaka mingapi liver na makombe mangapi? Tofauti ya DS na JK ni moja tu DS akiingia fainali hata tatu mfululizo hachukui ila JK wa liver akija fainali hii akakosa basi ijayo hakuachi, alikosa UCL vs madrid akachukua vs spurs, alikosa EPL vs city sasa anabeba, level za DS ni europa huko
 
Back
Top Bottom