Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Mbona hio come back hawakuifanya kwa Real Madrid?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wewe ndo unachangia kwa hisia.. Sio Mimi.
Sehem nyingine umekubali kuwa wamefungwa, sehemu nyingine unakataa, halafu ukishinda ndani ya extra time sio ushindi halali?

Hamtaki kukubali atletico kwa sasa wamepungua makali hasa beki yao imeruhusu magoli mengi hata kwenye ligi ushahidi upo..

Mbona pia kwenye hiyo super cup Costa alifunga mwishoni tu? Husemi mbona?

Halafu super cup hainaga maana Sana hata ukichukua, that's why super cup ya liver na Chelsea uliona liver walikuwa wanalegezea tu hawakucheza kwa moyo kama Chelsea.

Nikuulize atletico wanacheza mpira wa aina gani siku zote.. Je kwa sasa soka lao huoni limepungia ladha Licha ya simeone kutumia pesa nyingi msimu huu kusajiri?

Sababu zako hazina mashiko..
 
Shida unaongozwa na hisia Kwenye UEFA rankings za last decade yaani 2010-19 Atletico ni ranked number 2 nyuma ya Real Madrid. Katika wakati huo Atletico ilibeba UEFA super cup 3 na UEFA Europa league 3 pamoja na UCL finals mbili.

Huku ikiwa timu yenye clean sheet nyingi zaidi katika top 5 leagues kwa misimu mfululizo.

Kiufupi hakuna msimu atletico imemaliza msimu chini ya point 75 toka simeone amefika.

He deserves credit alikuta atletico inakimbilia relegation leo hii imekua powerhouse na kuvunja duopoly ya Barca na Real iliokua na Messi and Ronaldo!!

Don't underate him na ndio maana mshahara wake ndio mkubwa kuliko makocha wote dunia nzima!!
 
1. Naposema extra time namaanisha sio kama mechi ilikua sorted kwa dominance ndani ya regulation time kiasi kwamba mshike hoja eti mmeshindwa fainali!! Kufungwa kwa penalty ni luck tu sio dominance mind u ameshinda europa 3 na super cup 3 so ww ukiona hazina maana basi ndio ufaham leo ndio timu ya pili bora kwenye last decade based on Uefa rankings

2.Atletico haijapungua makali bali imebadili timu almost nzima maana wengi wazoefu walihama so ni transition period hii. Ila kufikia msimu ujao watakuwa wame blend so tegemea makubwa!!

3. Super cup kufunga mwishoni unasahau zile 4 alizopigwa chelsea?? Vp inter milan ilivyozabuliwa bao 2 na kina forlan?? Europa league zote tumeshinda kwa regulation time tena bao sio chini ya tatu wasemaje ni sheer luck?

4. Soka halijapungua ladha ni ugeni tu wa wachezaji. Tuliondokewa na wachezaji almost 10 wa kikosi cha kwanza!!

5. Kiufupi ww hufuatilia la liga msimu huu atletico ndio inaongoza kwa kucreate chance za kufunga kuliko atleti ya msimu wowote ule. Fullbacks wanacheza deep in opposition defence ilihali zamani walikua ni pure defenders so kma haya mabadiliko huyaoni basi una haki ya kusema ladha imepungua.
 
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi liva tunatoka mkuu

Atlético wako vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi mimi naongozwa na hisia wewe unaongozwa na chuki dhidi ya liver, atletico hadi leo ana uefa ngapi? Kweli Liverpool hii ni ya kuibeza mbele ya atletico? Hapa ni chuki tu mkuu huna jingine
 
Kumbe ni shabiki wa atletico..

Sasa hapa Mimi na wewe nani anaongea kwa ushabiki..?

Kwa heri
 
Kipindi mimi naongozwa na hisia wewe unaongozwa na chuki dhidi ya liver, atletico hadi leo ana uefa ngapi? Kweli Liverpool hii ni ya kuibeza mbele ya atletico? Hapa ni chuki tu mkuu huna jingine
Mada imehama kutoka Simeone ssa imegeuka Historia ya Liverpool na makombe yenu ya mwaka 30??

Issue ni kuwa Simeone toka amefika ana makombe mengi kuliko liverpool both domestic na UEFA sasa unachobisha nni?

What I'm saying is.... Simeone is far better than how EPL fanboys underrate him!! Hakuna short on target wakati ni unbeaten EPL alafu unaona kitu cha kawaida tu?
 
huyu jamaa nimeamua nimuache tu.
Eti team ya pili kwenye ranking..!

Haina hata UEFA.. Et anasema wamebeba super Cup.. hilo nalo ni kombe kweli mzee
Sasa unabisha nni mkuu Europa league 3 na super cup 3 na final za UCL 2 jumla fainali 8 na makombe 6 unajua hizo ni coefficient points ngapi??

Nitajie timu iliyocheza fainal na kubeba uefa competitions kuliko atleti last decade ukiachana na real madrid ?? Nitajie moja tu maana naona twabishana huku huna takwimu.
 
huyu jamaa nimeamua nimuache tu.
Eti team ya pili kwenye ranking..!

Haina hata UEFA.. Et anasema wamebeba super Cup.. hilo nalo ni kombe kweli mzee
Eti ananiambia mimi naongozwa na hisia huku akisahau yeye anaongozwa na chuki, timu yake bora namba mbili haina ucl cup hata la kuiba

Official page ya UEFA na msimu huu ni ya 3 bado licha mapovu yenu.

UEFA wanaenda na takwimu baada ya Real anayefuata kwa makombe na fainali nyingi ni Atletico hao liverpool hata top 10 hawakuwemo then kelele kibao humu.
 
View attachment 1367634
Official page ya UEFA na msimu huu ni ya 3 bado licha mapovu yenu.

UEFA wanaenda na takwimu baada ya Real anayefuata kwa makombe na fainali nyingi ni Atletico hao liverpool hata top 10 hawakuwemo then kelele kibao humu.
Subiri liver amtoe huyo atletico uone utakavyobadili gia angani, baada ya timu lako kusuasua umeamua kujificha kwenye kichaka cha atletico sasa mimi siumi maneno huyo atletico wako tunapiga uamie timu nyingine itakayopangwa na liver, eti wahuni hawana hata ucl moja ya kuiba
 
Unavuta bangi wewe, Simeone ana makombe mengi kuliko liver? Eti makombe ya mwaka 30!! Ona aibu wewe hivi unajua club bingwa ya dunia ni ipi? Hivi unajua club bingwa ulaya ni ipi? Nazungumzia current sio hiyo miaka 30 unayosema wewe, DS ni mtoto kwa JK na atletico ni ndogo sana kwa liver, haijawahi chukua ucl na usiitegemee miaka ya karibuni kuchukua, ndio maana huko spain club ni mbili tu na nadhani unazijua
 
Eti anasema atletico wametumia sh 4500 tu kusajili wakati liver wametumia bilioni sita,
 
Naona mkuu klopp fan boys umewashika pabaya sana ulipoleta takwimu comments zitazokuja naamin zitakuwa offensive tu wala hazitokuja na facts tena teh teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti anasema atletico wametumia sh 4500 tu kusajili wakati liver wametumia bilioni sita,
Shida yako huna takwimu Atletico iliuza wachezaji 10 kwa gharama ya zaidi €300 M euros na hivyo wakatumia almost €250 Kuziba mapengo kwa kusajili 7 players!!

Na labda haufaham Atletico ndio timu inayoongoza kwa revenue ya kuuza wachezaji yaani transfer balance yetu ni positive ikifuatiwa na Benfica. So hakuna msimu imetumia pesa nyingi kma liver zaidi ni kusajili replacements tu.

Ssa nionyeshe ni msimu gani liverpool imekua na positive transfer balance toka klopp amekuja??

Mkuu kma huna facts usiropoke
 
Usihamishe magoli nmekuwekea hapo Takwimu ya uefa official page kua hadi 2020 hii bado atletico ni ya 3 kwa rankings na last decade ndio ilikua ya pili.

Vigezo ni makombe 6 ya uefa competitions na fainali 8. Ssa niambie liverpool katika wakati huo yaani 2010-19 wana makombe mangapi??

Simeone ana makombe mengi kuliko liver katika wakati huo kma imekuuma basi kale malimao 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…