bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Mbona hio come back hawakuifanya kwa Real Madrid?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani Liverpool huifahamu ,
Na kama unaifahamu basi unaifahamu kidogo
Ukitaka kuifahamu vzr [emoji116]
Ref miracle of instanbull ,usiishie hapo ref FA final 2006 vsWEST HAM
Achana na hii comeback aliyofanyiwa barca juzi .Barca ambayo haina beki yaani hii comeback ya kitoto kabs kuna comeback ilifanywa mwaka 2005 kule Instanbull mbele ya AC MILAN iliyo na kila aina ya mchezaji ambao Wanastahili sifa .
Na cha kustaajabisha LIVERPOOL ilikuwa na average players kabisaa na hata lig(EPL) nakumbuka walimaliza nafasi ya 6 au 5 kama sijakosea
Sent using Jamii Forums mobile app