Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Nadhani hilo Europa team ambayo unayodai ni kubwa haipaswi kujivunia hicho kindoo..

Team kama kina Lyon, Ajax, Atalanta ndo wajivunie sio sisi..

Sasa ulitaka liver akatae kushiriki?.

Halafu unajua Liverpool hawajachukua kombe la ligi kuu kwa miaka 30?

Mpka leo klop Kaja kutupa kombe msimu huu?

Unajua aliikuta liver katika Hali gani mpaka kairudisha kwenye makali yake?

Tena ana misimu michache tu katengeneza team kwa bei rahisi tu..

England top 5 ya team zilizotumia pesa nyingi yeye yupo chini wa mwisho kabisa.

Tofauti na simeone mwenye misimu mingi ila team inaambulia kwenda final then kipigo hahaha.. Halafu msimu huu katumia pesa kibao..
Takwimu nmekuwekea hapo hilo kombe unaloita futuhi mmeshiriki mara zaidi ya 6 na hamjabeba lolote ssa kma ni futuhi mlishindwaje kubeba?

Atletico imeshiriki champions league misimu yote aliyokuwepo Simeone kitu ambacho Liver hamuwezi decade nzima mmecheza mara 2 pekee alafu kelele kibao !!

Learn some manners kids
 
Bro heshima yako.

Unaweza kuleta statistics za makombe for that particular decade?

1. Atletico vs Liverpool
2. Klopp vs Simeone.
Atletico 9 trophies Vs liverpool 4 trophies

Simeone in atletico 7 trophies vs Klopp in Dortmund (4) Liverpool (3)
 
Hivi unazani makombe sita ya ucl fainali zote tulicheza na spurs? Ramos asingecheza mieleka wangemtambua Mo Salah ni nani
Unahamisha magoli?? Jikite kwenye mjadala time frame ni last decade na hoja ni atletico ya simeone vs liverpool with or without klopp haina ubishi kuwa amewazidi kila kitu. Historia humu hazina msaada afterall hizo european cup mmeshinda zikiwa timu chache sana so sio kipimo cha ubora
 
M

Mkuu hapa tunaongelea Atletico ya simeone ma ww baki na liverpool ya kipindi chote akiwepo simeone. Leta data mkuu unalodharau Europa ndio mmeshiriki mara kibao na hamna mlichoshinda
Hivi umesoma heading? Kama unaongelea atletico ya ds nami naongelea liver ya jk
 
Unahamisha magoli?? Jikite kwenye mjadala time frame ni last decade na hoja ni atletico ya simeone vs liverpool with or without klopp haina ubishi kuwa amewazidi kila kitu. Historia humu hazina msaada afterall hizo european cup mmeshinda zikiwa timu chache sana so sio kipimo cha ubora
Mwambie achukue makombe ya wanaume sio hayo futuhi, liver akiwa vibaya ndio anashiriki futuhi, sasa nyie mkiwa vizuri mnachukua futuhi mkiwa vibaya futuhi lini mtakuwa mabingwa wa ulaya na dunia?
 
Takwimu nmekuwekea hapo hilo kombe unaloita futuhi mmeshiriki mara zaidi ya 6 na hamjabeba lolote ssa kma ni futuhi mlishindwaje kubeba?

Atletico imeshiriki champions league misimu yote aliyokuwepo Simeone kitu ambacho Liver hamuwezi decade nzima mmecheza mara 2 pekee alafu kelele kibao !!

Learn some manners kids
Pia Kama atletico ni bora kwanini mshiriki UEFA misimu yote hiyo na mshindwe kubeba? badala yake mnaenda kuwafunga kina Lyon eti umebeba kombe duh hahaha.
Kwanza huwezi kukaa kwenye meza moja nasi. Kachukue kwanza UEFA ndo uje. hatukai na watoto.

Haya Real Madrid kachukua kombe la Europa lini hilo? Inamaana na Real Madrid wana uwezo mdogo kuliko atletico?

Huna hoja ya kubishana name Kaka kawadanganye watoto
 
Unaweza kuniwekea mwaka na aina ya kombe husika?
U cant be serious si uingie Wikipedia mkuu!!

Klopp ana
bundesliga 2
Dfb Pokal 2
UCL 1
Uefa Supercup 1
Club world cup 1
Jumla 7

Simeone wa Atletico
La liga 1
Kings cup 1
Supercopa espana 1
Europa league 2
Uefa super cup 2

Jumla 7

Hapo cjaongelea simeone akiwa Argentina
2 League titles akiwa na river plate na Estudiantes

So jumla Simeone 9 X Klopp 7

Amua nani mkali hapo

Cc pancho boy
 
Pia Kama atletico ni bora kwanini mshiriki UEFA misimu yote hiyo na mshindwe kubeba? badala yake mnaenda kuwafunga kina Lyon eti umebeba kombe duh hahaha.
Kwanza huwezi kukaa kwenye meza moja nasi. Kachukue kwanza UEFA ndo uje. hatukai na watoto.

Haya Real Madrid kachukua kombe la Europa lini hilo? Inamaana na Real Madrid wana uwezo mdogo kuliko atletico?

Huna hoja ya kubishana name Kaka kawadanganye watoto
Van Dijk wa buguruni bhana!! Hapa takwimu tu Liver mmeshiriki Europa kuliko timu yeyote top 6 alafu mkipigwa mnaanza kuliita la mbuzi??

Real Madrid hawezi pimwa kwa Europa sababu hajawahi shiriki so usichanganye mada.

Ni hivi takwimu nmeshakupa, mpaka tunawapiga ile juzi, Atletico ndio ranked #3 best team ulaya hyo liver yenu haipo kokote so jifunze heshima kijana klopp wakuja tu kwa simeone according to UEFA not me
 
Mwambie achukue makombe ya wanaume sio hayo futuhi, liver akiwa vibaya ndio anashiriki futuhi, sasa nyie mkiwa vizuri mnachukua futuhi mkiwa vibaya futuhi lini mtakuwa mabingwa wa ulaya na dunia?
Nyie ligi mbona imewashinda mwaka wa 30 huu?? Kelele kibao hata Leicester imewazidi!!

Atletico ilikua low budget team na Simeone ndio alikuja kuihuisha na kufika hapa ilipo kwahiyo hata haya makombe ni beyond expectation.

Sasa kituko nyie timu ya miaka kibao ipo top flight alafu mnashindwa kubeba hata FA cup decade nzima mmeshiriki Europa mara 6 hata moja hambebi alafu hapa mnakuja kuliita la mbuzi

Majogoo wa karatasi bhana 🤣🤣🤣
 
U cant be serious si uingie Wikipedia mkuu!!

Klopp ana
bundesliga 2
Dfb Pokal 2
UCL 1
Uefa Supercup 1
Club world cup 1
Jumla 7

Simeone wa Atletico
La liga 1
Kings cup 1
Supercopa espana 1
Europa league 2
Uefa super cup 2

Jumla 7

Hapo cjaongelea simeone akiwa Argentina
2 League titles akiwa na river plate na Estudiantes

So jumla Simeone 9 X Klopp 7

Amua nani mkali hapo

Cc pancho boy

Okay, kwa case ya vikombe umeshinda.
 
Van Dijk wa buguruni bhana!! Hapa takwimu tu Liver mmeshiriki Europa kuliko timu yeyote top 6 alafu mkipigwa mnaanza kuliita la mbuzi??

Real Madrid hawezi pimwa kwa Europa sababu hajawahi shiriki so usichanganye mada.

Ni hivi takwimu nmeshakupa, mpaka tunawapiga ile juzi, Atletico ndio ranked #3 best team ulaya hyo liver yenu haipo kokote so jifunze heshima kijana klopp wakuja tu kwa simeone according to UEFA not me
Van djik wa buguruni kivipi? I'd yangu inasomeka Pancho boy. Huko kwingne ni kuishiwa hoja..

Ouk lete hizo takwimu zinazoonesha tumeshiriki Europa Mara nyingi kuliko team zingne top six..

Halafu tuangalie mafanikio ya klop na ds yanasemaje? kwanza ds muda wote yupo atletico tu hata jk angefanya hivi angekuwa mbali kuliko ds.. Na mpaka sasa ni kocha Mkubwa...

Yaani atletico eti ni team kubwa inashindwa hata na kina Aston Villa wenye UEFA?. Hahah

Hivi hizo takwimu za FIFA umezitoa wapi? hebu tueleze na sisi tukatafute.. yawezekana ni za mwaka 1995 hahaha

Unaweza kuwa mtu mzima lakini bado haiwezi kuondoa uhalisia kuwa wewe ni mjinga
 
Barcelona hawajawahi kucheza mchezo wa kuzuia wala hawana mbinu ila ATM wakikutangulia kazi unayo sijasema haiwezekani lkn kazi ngumu sana Liverpool wanayo wana asilimia chache sana za kupindua meza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu,Liberpool kwenye "kupindua" meza wana historia hiyo au hawana!?
 
UCL wote tumeingia final 2 tukafungwa kwa extra time na penalty nyie mkapigwa open play na nyingine mkashinda kwa goli la penalty tena dhidi ya timu dhaifu.

Ssa hii arrogance unatoa wapi?? Anyway tusubiri game ya anfield kelele zitaisha hizi
Timu dhaifu unaipimajee mkuu!?
Timu dhaifu inafika fainali!?
 
Mkuu zitto junior, nakukubali sana kule jukwaa la siasa,ila hapa umechemsha.
Huwezi kufananisha Atletico na makombe yake 6 ndani ya miaka 10,na Liverpool chini ya JK !?
Hueleweki ndugu.
Shida huna takwimu mie nmekwambia Atletico ana makombe ya UEFA competitions 6 last decade, katika kipindi hicho hao Liver wana mawili 2 so simeone amemzidi Klopp kwa mbali na ndio maana imekua #2 best team of the decade kwa uefa rankings.

Ambacho huelewi kipi?
 
"Ligi ya wajinga" ikatoa bingwa wa UEFA na Supercup. Hao wasio wajinga walikuwa wakifanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaa Mane wa Tandika hivi hujui Makombe ya UEFA both Europa na UCL mengi zaidi!!
Madrid ikabeba uefa 4 Barca 2 last decade
Huku Europa atletico ana 3 sevilla ana 3 that means spain imedominate Ulaya.

Kwahyo hyo liver kuongoza kwa point 20+ ni upuuzi wa EPL ndio maana alipokutana na wahuni kadhibitiwa mapema.
 
Mkuu zitto junior, nakukubali sana kule jukwaa la siasa,ila hapa umechemsha.
Huwezi kufananisha Atletico na makombe yake 6 ndani ya miaka 10,na Liverpool chini ya JK !?
Hueleweki ndugu.
Haaahaaaa ni mtazamo mkuu na sio mimi tu nayesema hivyo ila UEFA rankings inaiweka atletico nafasi ya 2 kwa msimu wa 6 sasa.

Kitakwimu Liverpool hana uwezo kwa level ya Atletico. Na ndio maana kadhibitiwa ilihali EPL nzima imemshindwa.

Takwimu hazidanganyi mkuu unless uniambie kwanini unaona Klopp ni bora kuliko Atletico?
 
Back
Top Bottom