zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Takwimu nmekuwekea hapo hilo kombe unaloita futuhi mmeshiriki mara zaidi ya 6 na hamjabeba lolote ssa kma ni futuhi mlishindwaje kubeba?Nadhani hilo Europa team ambayo unayodai ni kubwa haipaswi kujivunia hicho kindoo..
Team kama kina Lyon, Ajax, Atalanta ndo wajivunie sio sisi..
Sasa ulitaka liver akatae kushiriki?.
Halafu unajua Liverpool hawajachukua kombe la ligi kuu kwa miaka 30?
Mpka leo klop Kaja kutupa kombe msimu huu?
Unajua aliikuta liver katika Hali gani mpaka kairudisha kwenye makali yake?
Tena ana misimu michache tu katengeneza team kwa bei rahisi tu..
England top 5 ya team zilizotumia pesa nyingi yeye yupo chini wa mwisho kabisa.
Tofauti na simeone mwenye misimu mingi ila team inaambulia kwenda final then kipigo hahaha.. Halafu msimu huu katumia pesa kibao..
Atletico imeshiriki champions league misimu yote aliyokuwepo Simeone kitu ambacho Liver hamuwezi decade nzima mmecheza mara 2 pekee alafu kelele kibao !!
Learn some manners kids