Digita Camera ya Megapixels 3,200 yazinduliwa huko California. Ina uwezo wa kuona kitenesi umbali wa Kilomita 32.

Digita Camera ya Megapixels 3,200 yazinduliwa huko California. Ina uwezo wa kuona kitenesi umbali wa Kilomita 32.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na ushee.

Kamera ina ukubwa sawa na gari ya vitz ama ist.

Hivi hizi TELESCOPE na PERISCOPE; si nazo pia ni aina za camera au?
 
Technologia ilivo haichukui muda kukua utakuta 2042 hio camera ni ndogo sanaa na itakua ni camera ya simu I phone 23
CAN YOU GUESS WHAT THIS IS?
Screenshot_20221015-125740.jpg
 
Teknolojia inavyokua kwa kasi basi miaka ya mbele inawezekana kabisa kuja kua na Camera yenye nguvu kiasi hicho ila ikiwa na umbo dogo tu,kama ilivyokua kwa Mobile phones mwanzoni au vifaa vingine vyakielectroic.
Sure, you are very right.

Mwaka 1974 pale Dr. Cooper alipotengeneza simu ya kwanza ya inayohamishika ama mobile phone ilikua na uzito wa kilo 1, leo ni simu ni nyepesi kama karatasi.

Miaka 20 ijayo utakuta digital camera kama hiyo iko kwenye Samsung Galaxy S52. Unapiga picha Morogoro ukiwa Dar😂
 
Mega pixels 3,200 mbona bado ni ndogo sana kuweza kuwa ya kwanza kwenye rekodi

Kuna Giga pixels 125 niliwahi kukutana nayo mtandaoni ambayo niliona picha yake iliyopiga mji wa shanghai

Zooming yake ni hatari hadi kunguni unamuona
 
Camera inaweza hayo?
Nikumbushe kidogo hapa kweli tunongelea kitu kinchoweza kufanya nini? Hapa mtu AMELETA mada inayohusiana na kifaa kinachoweza kuona na kupiga picha tennis iliyob U mbali wa km 32. TELESCOPE zinaona na kupita picha umbali wa billions of LIGHT YEARS away!
 
Nikumbushe kidogo hapa kweli tunongelea kitu kinchoweza kufanya nini? Hapa mtu AMELETA mada wa kifaa kinachoweza kuona na kupiga picha tennis iliyob U mbali wa km 32. TELESCOPE zinaona na kupita picha umbali wa billions of LIGHT YEARS away!
Kwahyo telescope ni aina ya camera?
 
Yaani kufananisha hiyo Camera na ukubwa wa Vits mnatudharau sana wenye baby walkers kiasi hiki? Kwann hamkufananisha hata na Vanguard?
 
Attachments

  • IMG-20221015-WA0007.jpg
    IMG-20221015-WA0007.jpg
    58.5 KB · Views: 10
Nilidhani hivyo, au wewe unaonaje?
Telsescope kazi yake ni kuzoom mbali na sio kurekodi picha...camera kazi yake ni kurekodi picha na sio kuzoom mbali.
Kwahyo ukiona telescope imetoa picha basi ujue kuna camera imekuwa attached...na ukiona camera inazoom mbali basi ujue kuna small telescope imekuwa attached (telephoto lens)
 
Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na ushee.

Kamera ina ukubwa sawa na gari ya vitz ama ist.

Michuzi anaweza kuitumia
 
Telsescope kazi yake ni kuzoom mbali na sio kurekodi picha...camera kazi yake ni kurekodi picha na sio kuzoom mbali.
Kwahyo ukiona telescope imetoa picha basi ujue kuna camera imekuwa attached...na ukiona camera inazoom mbali basi ujue kuna small telescope imekuwa attached (telephoto lens)
KWA hiyo inabidi tuichukue SASA hii camera tunyoiongelea hapa, tukaiweke kwenye TELESCOPE. Telescope ikisha ZOOM, tupige picha za mbali kwa KUTUMIA camera hii tunayoiongelea hapa, SAWA?
 
KWA hiyo inabidi tuichukue SASA hii camera tunyoiongelea hapa, tukaiweke kwenye TELESCOPE. Telescope ikisha ZOOM, tupige picha za mbali kwa KUTUMIA camera hii tunayoiongelea hapa, SAWA?
Kwanini tuichukue tuipeleke kwenye telescope wakati tayari telescope ishaletwa na kuattachiwa kwa nyuma hapo?
Wewe unahisi nini kinafanya iwe kubwa kama gari?
 
Back
Top Bottom