The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hivi hizi TELESCOPE na PERISCOPE; si nazo pia ni aina za camera au?Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na ushee.
Kamera ina ukubwa sawa na gari ya vitz ama ist.
Ndugu zangu wenye stress njooni mcheke hapa😂😂Hivi hizi TELESCOPE na PERISCOPE; si nazo pia ni aina za camera au?
CAN YOU GUESS WHAT THIS IS?Technologia ilivo haichukui muda kukua utakuta 2042 hio camera ni ndogo sanaa na itakua ni camera ya simu I phone 23
TELESCOPE ina UWEZO WA KUONA na kupiga picha kitu kilicho umbali wa billions of LIGHT YEARS away. HILI wewe unalijua?Ndugu zangu wenye stress njooni mcheke hapa😂😂
Sure, you are very right.Teknolojia inavyokua kwa kasi basi miaka ya mbele inawezekana kabisa kuja kua na Camera yenye nguvu kiasi hicho ila ikiwa na umbo dogo tu,kama ilivyokua kwa Mobile phones mwanzoni au vifaa vingine vyakielectroic.
Camera inaweza hayo?TELESCOPE ina UWEZO WA KUONA na kupiga picha kitu kilicho umbali wa billions of LIGHT YEARS away. HILI wewe unalijua?
Nikumbushe kidogo hapa kweli tunongelea kitu kinchoweza kufanya nini? Hapa mtu AMELETA mada inayohusiana na kifaa kinachoweza kuona na kupiga picha tennis iliyob U mbali wa km 32. TELESCOPE zinaona na kupita picha umbali wa billions of LIGHT YEARS away!Camera inaweza hayo?
Kwahyo telescope ni aina ya camera?Nikumbushe kidogo hapa kweli tunongelea kitu kinchoweza kufanya nini? Hapa mtu AMELETA mada wa kifaa kinachoweza kuona na kupiga picha tennis iliyob U mbali wa km 32. TELESCOPE zinaona na kupita picha umbali wa billions of LIGHT YEARS away!
Nilidhani hivyo, au wewe unaonaje?Kwahyo telescope ni aina ya camera?
Telsescope kazi yake ni kuzoom mbali na sio kurekodi picha...camera kazi yake ni kurekodi picha na sio kuzoom mbali.Nilidhani hivyo, au wewe unaonaje?
Michuzi anaweza kuitumiaWanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na ushee.
Kamera ina ukubwa sawa na gari ya vitz ama ist.
KWA hiyo inabidi tuichukue SASA hii camera tunyoiongelea hapa, tukaiweke kwenye TELESCOPE. Telescope ikisha ZOOM, tupige picha za mbali kwa KUTUMIA camera hii tunayoiongelea hapa, SAWA?Telsescope kazi yake ni kuzoom mbali na sio kurekodi picha...camera kazi yake ni kurekodi picha na sio kuzoom mbali.
Kwahyo ukiona telescope imetoa picha basi ujue kuna camera imekuwa attached...na ukiona camera inazoom mbali basi ujue kuna small telescope imekuwa attached (telephoto lens)
Kwanini tuichukue tuipeleke kwenye telescope wakati tayari telescope ishaletwa na kuattachiwa kwa nyuma hapo?KWA hiyo inabidi tuichukue SASA hii camera tunyoiongelea hapa, tukaiweke kwenye TELESCOPE. Telescope ikisha ZOOM, tupige picha za mbali kwa KUTUMIA camera hii tunayoiongelea hapa, SAWA?