Digita Camera ya Megapixels 3,200 yazinduliwa huko California. Ina uwezo wa kuona kitenesi umbali wa Kilomita 32.

Wenzetu wanazidi kuendelea kila miaka inavyozidi kwenda lakini sisi tangu 1961 mpaka leo kuna sehemu nchini bado watu wanashida ya maji na umeme wenye undugu na Ray C.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…