Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk
Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi nyingine. Haiwezekani watu waitwe wabobevu lakini hamna chochote wanachoweza kufanya kwenye maeneo waliyobobea.
Tatizo kubwa ni kwamba huwa hakuna fursa ya kureason wakati tupo masomoni, kila kitu ni kukariri ili kufaulu mitihani. Kile tunachopata shuleni sio elimu bali ni utumwa wa fikra.