Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Yote hayo yamesababishwa na magufuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiugua huwa unatibiwa na nani?Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk
Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi nyingine. Haiwezekani watu waitwe wabobevu lakini hamna chochote wanachoweza kufanya kwenye maeneo waliyobobea.
Tatizo kubwa ni kwamba huwa hakuna fursa ya kureason wakati tupo masomoni, kila kitu ni kukariri ili kufaulu mitihani. Kile tunachopata shuleni sio elimu bali ni utumwa wa fikra.
Hapana mkuu, hizo ngazi za elimu ziendelee kuwepo, humohumo tutapata wataalamu wa ukweli. Hata ukipanda mbegu shambani, usitegemee mazao yote yatakuwa na ubora ulio sawa; lazima yatatofautiana. Mbona tumeona wataalamu waliobuni (design) mambio makubwa katika taifa letu? Angalia daraja la juu la Mfugale! Wapo kweli baadhi wanakariri, lakini hiyo isiwe kigezo cha kusitisha ngazi hizo za elimu ulizotaja. Lichukulie hili kama katika msafara wa mamba na kenge nao wamo!Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk
Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi nyingine. Haiwezekani watu waitwe wabobevu lakini hamna chochote wanachoweza kufanya kwenye maeneo waliyobobea.
Tatizo kubwa ni kwamba huwa hakuna fursa ya kureason wakati tupo masomoni, kila kitu ni kukariri ili kufaulu mitihani. Kile tunachopata shuleni sio elimu bali ni utumwa wa fikra.
Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk
Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi nyingine. Haiwezekani watu waitwe wabobevu lakini hamna chochote wanachoweza kufanya kwenye maeneo waliyobobea.
Tatizo kubwa ni kwamba huwa hakuna fursa ya kureason wakati tupo masomoni, kila kitu ni kukariri ili kufaulu mitihani. Kile tunachopata shuleni sio elimu bali ni utumwa wa fikra.
Tukiacha mtaala wa kikoloni sasa hivi tutarudi karne ya 18. Unajua tulipaswa kuwaacha wazungu watawale hadi 2050 huku tukijichanganya nao na kijifunza kwao kila jambo jema.Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk