Ukiona hivyo fursa ya pesa nyingi na ya haraka ujue ndo ipo huko.Ni shida hao wataalam wenyew hawatak kuzitumikia taaluma zao wanaamua kukimbilia kwenye siasa
Subiri ushikwe na tumbo la kuharisha km hujakodi teksi haraka sana kuwahi hospitalini halafu ukifika uanze kuongea hayo maneno kabla hujatibiwa. mijitu mingine sijui mkoje umeshashindilia maharage yako unaanza kuandika maruweruwe. Nenda kalale kwanza halafu urudi kusoma ulichoandika. Shwain hustahili kuishi ktkt hii dunia katafute panapokufaa.Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk
Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi nyingine. Haiwezekani watu waitwe wabobevu lakini hamna chochote wanachoweza kufanya kwenye maeneo waliyobobea.
Tatizo kubwa ni kwamba huwa hakuna fursa ya kureason wakati tupo masomoni, kila kitu ni kukariri ili kufaulu mitihani. Kile tunachopata shuleni sio elimu bali ni utumwa wa fikra.
Hakuna elimu ya kitanzania we ngedere km imekushinda kafanye shughuli zingineUsha wi kujiuliza Kwanini watawala wanawa peleka watoto zao kusoma nje?
Sjakuekewa naomba urudie umesema?Hakuna elimu ya kitanzania we ngedere km imekushinda kafanye shughuli zingine