Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Mashabiki wa Messi muwe na akiba ya maneno mpira si mahaba tu,
Huyo Messi asikabike kwa lipi la ajabu??
Nendeni mkamshangilie Copa del rey huko mpaka anastaafu soka fainal ya uefa haigusi tena
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 6-1 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]Barcelona wanapitia kipindi cha mpito tu. Macho yako yalikwambia mbeleko lakini wenzako waliona mpira tu.
Barcelona wanapitia kipindi cha mpito tu. Macho yako yalikwambia mbeleko lakini wenzako waliona mpira tu.
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 6-1 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
Mpira gani hadi Refa kuadhibiwa ikiwa walishinda kihalali[emoji848][emoji28]
Uliangalia fainali ya Juventus na Real Madrid, ambapo Madrid alishinda 4-1?Barca wana laana ya PSG,ile siku waliwadhulumu sana aiseee yaan yule refa ni mbwa sana