Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Punguza chuki, alafu kuwa shabiki wa soka. Tumia facts na sio porojo nyingi.
Mpira ni mchezo wa makosa tu. Haina maana kuwa Liverpool ni timu bora sana duniani. Ukimfunga aliye bora lazima upewe heshima.

Katika maisha ya kisoka tangu 2008 mpaka sasa Liverpool katwaa mataji mangapi? UEFA, EPL, FA, CARABAO?

Mashabiki wa Messi muwe na akiba ya maneno mpira si mahaba tu,
Huyo Messi asikabike kwa lipi la ajabu??
Nendeni mkamshangilie Copa del rey huko mpaka anastaafu soka fainal ya uefa haigusi tena
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 6-1 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]

Mpira gani hadi Refa kuadhibiwa ikiwa walishinda kihalali[emoji848][emoji28]
Barcelona wanapitia kipindi cha mpito tu. Macho yako yalikwambia mbeleko lakini wenzako waliona mpira tu.
 
Barca wana laana ya PSG,ile siku waliwadhulumu sana aiseee yaan yule refa ni mbwa sana
Uliangalia fainali ya Juventus na Real Madrid, ambapo Madrid alishinda 4-1?

Kosa dogo analofanya refa kwenye game kama hizo madhara ni makubwa.

Muhukumu refa.
 
Back
Top Bottom