Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Punguza chuki, alafu kuwa shabiki wa soka. Tumia facts na sio porojo nyingi.
Mpira ni mchezo wa makosa tu. Haina maana kuwa Liverpool ni timu bora sana duniani. Ukimfunga aliye bora lazima upewe heshima.
Katika maisha ya kisoka tangu 2008 mpaka sasa Liverpool katwaa mataji mangapi? UEFA, EPL, FA, CARABAO?

Mashabiki wa Messi muwe na akiba ya maneno mpira si mahaba tu,
Huyo Messi asikabike kwa lipi la ajabu??
Nendeni mkamshangilie Copa del rey huko mpaka anastaafu soka fainal ya uefa haigusi tena