Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

"I'm grateful that I'm not in Spain and I don't have to face him every season," were the words of Liverpool defenderVirgil Van Dijk
 
Hii ni kumuheshimu mpenzi wako!! Hupaswi kutukana mamba hujavuka mto..

Beki ya lyon baada ya game ya kwanza aliropoka kumkaba mbappe ni ngumu kuliko messi nikawaambia watu tusubiri game inayofata atajua mziki wa andunje..

Jamaa yangu smalling nae yale yale..


Aheri vd Amekuwa mkweli na pia kuonesh heshima kwa mpinzani wako..

Nawaombea kila la kheri majogoo wa london kuelekea kwenye game yao hiyo kwa heshima kubwa niliyonayo kwao kupitia mpira mwingi aliopiga legend(captain) midfielder bora ya kiingerza kupata kushuhudiwa na macho yangu.. C. Steven Gerrard
We Gelard mtu mwingine huyo.
 
Ngolo Kante alimdhibiti Messi kwenye world Cup, Messi anakabika ila mabeki watumie mbinu za ziada
Argentina ipo ila sio kwa ajili ya Messi. Pale Barca kuna waharibifu lundo.

Mharibifu akikaa na waharibifu wenzakr madhara huwa makubwa!
 
Atletico 2016
Juve 2017
Roma2018
Kama messi hazuiliki basi hiyo miaka wangebeba uefa Barca peke yao
Waliomfunza mpira wanakwambia huyu hazuiliki.
Hayo mengine ya kwenu.

Kamuulize. Pep na Del Bosque, Ancelelot, Mourinho.

Hawa watakueleza mengi tu.
 
Mesiiii a.k.a Andunje anaejua kucheza viwanja vya Hispania tu na si kwingineko wapiii? Wazee wa kumuabudu andunje mko wapi?
 
Mashabiki wa Messi muwe na akiba ya maneno mpira si mahaba tu,
Huyo Messi asikabike kwa lipi la ajabu??
Nendeni mkamshangilie Copa del rey huko mpaka anastaafu soka fainal ya uefa haigusi tena
 
NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
Mnaona aibu kujitokeza...huyo ndie The King, mchezaji bora kuwahi kutokea....na huko kwa malkia ataenda kuwashikisha adabu kama sio hattrick utaniambia...
Duuh njoo uone kilichotokea ,tuweke akiba ya Maneno
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Katika EPL kuna timu ambazo zikicheza naweza kuvua shati kuzishangilia. Namba 1: liver kuku, namba 2: The Gunners namba 3: The blues. Waliobakia hata kwenye mechi washinde goli mia siwezi kusimama kushangilia zaidi kusikitika anayefungwa.

Sina ushabiki wa kinazi. Si shabikii mchezaji mmoja mmoja, natumia facts kumuelezea mchezaji. Sio shabiki. Wa Cr7 lakini nakubali kazi yakekwa sababu kuna facts za wazi kuhusu huyu the same tu Andunje.

Ukienda pale Italy mimi ni shabiki wa AC Milan pure, panga pangua.

Ukienda Paris, France sina timu kabisa pale na wala. si shabikii ligue ile.

All in all, FC Barcelona is my favourite football club. Sivutiwi na barca kisa Messi, niliipenda Fc Barcelona kabla ya Messi. Nilianza na kocha Frank Rijkaad.

Nikamalizia timu yenyewe. Up to date.

Hakuna kitu kigumu kama kuona timu unayoipenda ikifungwa wakati mnatarajia ushindi. Kinachowahuzunisha mashabiki wa Barcelona kwa jana it ia the same to Liverpool fans in the first leg.

Je, wewe unashabikia vipi soka?
Wangeshinda Barca mngesema Messi hazuiliki
 
Back
Top Bottom