Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Gelard mtu mwingine huyo.Hii ni kumuheshimu mpenzi wako!! Hupaswi kutukana mamba hujavuka mto..
Beki ya lyon baada ya game ya kwanza aliropoka kumkaba mbappe ni ngumu kuliko messi nikawaambia watu tusubiri game inayofata atajua mziki wa andunje..
Jamaa yangu smalling nae yale yale..
Aheri vd Amekuwa mkweli na pia kuonesh heshima kwa mpinzani wako..
Nawaombea kila la kheri majogoo wa london kuelekea kwenye game yao hiyo kwa heshima kubwa niliyonayo kwao kupitia mpira mwingi aliopiga legend(captain) midfielder bora ya kiingerza kupata kushuhudiwa na macho yangu.. C. Steven Gerrard
Anfield utashinda ngapi?atafunga 2 Camp Nou (2-1).
Salah 1, Mane 1 & Firmino 1 Anfield (3-1)
aggregate: Barca 3-4 Liverpool.
naitunza hii post!
Nadhani amepata alichotaka tayariSmalling : "There is a weakness in Messi that only I know about"
Argentina ipo ila sio kwa ajili ya Messi. Pale Barca kuna waharibifu lundo.Ngolo Kante alimdhibiti Messi kwenye world Cup, Messi anakabika ila mabeki watumie mbinu za ziada
Mbona alishindwa kumzuia akiwa Chelsea?Atleast uwaambie ao minions wa andunje waache ushabiki andazi
Waliomfunza mpira wanakwambia huyu hazuiliki.Atletico 2016
Juve 2017
Roma2018
Kama messi hazuiliki basi hiyo miaka wangebeba uefa Barca peke yao
Ramos lazima ampige andunje ndiyo atahisi kuwa amemkaba na si vinginevyoHamna beki hapo....beki gani hyo anakua na wasiwasi na kiumbe dhaifu kama messi.Bado ajakomaa kama akina Ramos
Hatimaye kazuilika 4.0 ,Waliomfunza mpira wanakwambia huyu hazuiliki.
Hayo mengine ya kwenu.
Kamuulize. Pep na Del Bosque, Ancelelot, Mourinho.
Hawa watakueleza mengi tu.
Hawakumzuia Messi, ila walizuia timuHatimaye kazuilika 4.0 ,
Wangeshinda Barca mngesema Messi hazuilikiHawakumzuia Messi, ila walizuia timu
Duuh njoo uone kilichotokea ,tuweke akiba ya ManenoMnaona aibu kujitokeza...huyo ndie The King, mchezaji bora kuwahi kutokea....na huko kwa malkia ataenda kuwashikisha adabu kama sio hattrick utaniambia...
Wangeshinda Barca mngesema Messi hazuiliki
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]