hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
Alitoa unabii huu takribani mwaka 700 KK hadi 689 KK, yaani zaidi ya miaka 150 kabla Babeli haijaanguka.
Akasema
โBabeli... itakuwa kama Sodoma na Gomora... haitakaliwa kamwe kizazi baada ya kizazi.โ
(Isaya 13:19-20)
๐๐๐๐ง๐ ๐ฒ๐๐ค๐: si kuanguka tu โ bali haitarudi tena kuwa jiji lenye watu na utukufu wake wa zamani.
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐.
Nabii Yeremia aliongea tena kuhusu Babeli kati ya mwaka 626 KK hadi 586 KK, wakati Babeli ikiwa bado na nguvu sana.
Akasema
โNitafanya nchi ya Wakaldayo kuwa ukiwa wa milele.โ
(Yeremia 25:12)
Na tena akaongezea kwa kusema:
โHaitakaliwa tena, itakuwa ukiwa kabisa.โ
(Yeremia 50:13)
๐๐๐ฉ๐ ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐๐ฅ๐ข๐ฐ๐๐ค๐ ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ข: Babeli haitakuwa tena mji hai.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐.
Ilianguka mikononi mwa mfalme Koreshi (Cyrus) wa Umedi na Uajemi eneo ambalo leo ni sehemu ya Iran.
Hivyo
Isaya alisema miaka 150+ kabla haijaanguka.
Yeremia alisema miaka 40โ80 kabla Babeli haijatekwa.
Kisha Babeli ikaanguka rasmi mwaka 539 KK.
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐๐ก๐ ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ: baada ya kuanguka haikurudi tena kuwa mji mkuu wa dunia.
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐.
Alitaka kupingana na maandiko yaliyoandikwa zaidi ya miaka 2,500 iliyopita.
Laiti kama angekuwa msomi wa maandiko ya Mungu wa kweli, asingehangaika kutaka kupambana na unabii wa BWANA.
Saddam alianza mradi wa kuifufua Babeli mwaka 1978 hadi miaka ya 1980.
Alijenga
baadhi ya kuta,
malango,
majengo ya kumbukumbu,
na matofali mapya yenye jina lake.
Matofali hayo yaliandikwa: Saddam Hussein sawa na wafalme wa kale walivyoandika majina yao.
Alitaka Babeli irudi kuwa alama ya utukufu wa Iraq.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐?
Mwaka 2003 Marekani na washirika wake walipoivamia Iraq, utawala wa Saddam ulianguka.
Baadaye alikamatwa akiwa mafichoni karibu na mto Tigris.
Serikali mpya ya Iraq ilimfungulia kesi kwa mauaji na mateso aliyowafanyia raia wengi.
Kisha asubuhi ya tarehe 30/12/2006 akapelekwa Baghdad kwenye jukwaa la kunyongwa.
Akafa kwa kunyongwa kamba ikavunja shingo yake papo hapo.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐.
Alijiona kama Nebukadneza mpya wa Iraq.
Alijenga matofali mengi ya Babeli na akaandika jina lake juu yake kama wafalme wa kale walivyofanya.
Hapa ๐ amechora picha yake akijifanya kama kina Nebukadneza
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ค๐๐๐ฅ๐ ๐ก๐๐ฃ๐๐ฆ๐๐ฅ๐ข๐ณ๐ ๐ง๐๐จ๐ญ๐จ ๐ฒ๐๐ค๐:
utawala ukaanguka,
yeye mwenyewe akakamatwa,
na mwisho wake ukawa wa aibu kwa kunyongwa.
๐๐ญ๐ฎ ๐๐ฅ๐ข๐ฒ๐๐ฉ๐๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ข, ๐ฒ๐๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐ ๐ก๐๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ฎ.
Kana kwamba hukumu ya Babeli ikamfikia pia.
๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐.
Haijarudi kuwa jiji lenye watu.
Haijarudi kuwa mji mkuu.
Haijarudi kuwa kitovu cha dunia.
๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐: