Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
-
- #121
Kalale inaonekana unamjua sana kuliko hata yeye mwenyewe diamond platinumz Ni RICH na ana nyumba more than 150 endelea kukaza fuvuHuyu jamaa anapiga kelele sana hamna kinachomuonyesha kuwa ana hela vibaya mno zaidi ya kumiliki nyumba mbili tatu na wasafi fm, gari zenyewe ananunua used hapa tanzania tena magari ya zamani anayayafanyia face-lift, anapoishi amepanga n.k hata kama unautajiri lakini hana utajiri wa bilioni 10 - 15, fujo tupu
FactNimekwambia DJ Khalid sio Niga, wala Justin Bieber sio Niga, lakini kwa show off hawajambo sana, kwahiyo kujitangaza sio jambo baya kama ambavyo unajaribu kulifanya liwe baya
Huyo Jamaa muache diamond platinumz Ni geniusKwanini unaangaika na kelele zake mpuuze uone kama anaweza kuacha kelele , halafu kwanini ukumkadiria milioni kadhaa ukaangukia kwenye bilioni 10-15?
Show off kwa msanii is a brand and a big deal so diamond platinumz Ni geniusDJ Khaled ni nigga. Kuwa nigga siyo lazima uwe mweusi.
Leta hapa show offs za Justin Bieber ( hasa kupitia nyimbo zake au maisha yake )
Kalale endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji119][emoji125]Yaani nimeangalia post zake yaani anaandika kiushabiki(ni kama zile post za instagram) wakati hii ni jf kiufupi sielewi udaku,uchambuzi ama nini nina uhakika mwenye uzi huu ataukimbia mda si mrefu
Diamond platinumz Ni CEO(CHIEF EXECUTIVE OFFICER)Anaona ana pesa kuliko wasanii wenzake wa hapa bongo.
Huwa namsikia anasema eti nikikwambia mishahara ninayolipa mimi kwa mwezi, ni pesa nyingi.
Sasa unajiuliza Wasafi media siyo mali yake peke yako maana yake hata mishahara huilipi wewe peke yako. Tambo za nini ?
Kinachofanya utake kuonesha kila kitu ni kwa nguvu zako ni nini ?
Guinnea, Gabon, Ethiopia, Sudan, Mozambique, Nigeria, Ghana, Ivory coast, Senegal na nyingi sana sawa dogoUkiachana na Mozambique, Namibia, Zimbabwe, na Malawi. Nitajie nchi nyingine
Endelea kukaza fuvu [emoji23]Alafu anasema kama hujaelewa utakuwa hujaenda shule means yeye ni msomi sasa ni msomi gani analeta uzi hauna kichwa wala mguu
Sasa wale Wana hela wakati wanazidiwa na MoAma umkute Messi au Ronaldo akilalamika kutowekwa kwa list ya wachezaji wenye hela duniani. Huo ni utopolo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Diamond platinumz ana $30m sawaKwa sababu ndicho anacholilia kwamba anawazidi wote wasanii wa nigeria kwa mkwanja, na wa chini katika iyo list wana zaidi ya USD 7.5M
Kalalevijana wa siku hizi wanajua kwenda shule ni kujua kutumia smart phone
DIAMOND PLATINUMZ NI G. O. A. TBurkinafaso,Guinea Bisau na Gunea Konakry,Sudan,Ethipia,Zambia,Mayotte ,Camaroon ,Madagascar ,Gabon .Ratiba ya mwaka jana Diamond alikuwa na show Mali,Togo na Senegal sema Corona imeharibu.
Hiyo haitoshi imesaini deal ITel mwaka huu kuwa balozi ndani ya nchi tano (Tanzania,Kenya,Uganda,Burkina Faso na Togo).
Nigeria na South alifanya kwa mialiko (sio kama hizo nyingine ambazo alikuwa yeye ndio msanii mkubwa hiyo show),South show ya MTV base x2 na ktk uzinduzi wa BET Africa.
Nigeria alifanya ktk Sound City na kuna show nahisi alialikwa na Iyanya basi.
Fact kakaUnataka show gani Justin bieber ile New Rolls Royce yake alionunua mwaka huu ni design ya peke yake, hakuna mwenye Gari kama ile kwa maana ya design, unataka show off gani ?
Diamond platinumz is a real dealView attachment 1789811
Hii topic hipo nigeria sasahivi
Fact kakaKwanini sio milioni , kulilia sio sababu unatakiwa uje na uhalisia wako
Upo kijana sawa sema Ina depend na eneoHamna utajiri wa milioni
Endelea kukaza fuvuHahaha, hapo hata mtoto wa shule atakwambia wanampa hype ya kumenjoy kiani. Deep down, they don't give 2 sh*ts about him!
Hamna kituNapenda the way una data! You are the first I've seen unamfahamu ryan sea crest
Uptop
Una uhakika dogoKwahiyo hii ndio 80% ya Africa?
Anyway, Weka hizi shows [emoji115][emoji115]
Hizo nyingine ni bla bla zisizo na kichwa waka miguu.
FactIngia acc ya Diamond Youtube zote utaziona.