Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

West A ipi? wakati Davido alimzawadia mwanae wa miaka 5 zawadi ya Gari kwenye birthday yake, sasa mtoto wa miaka 5 na Gari wapi na wapi!! Hizi pia ni mbwembwe sema mmekuwa wavivu kufatilia
Hizo ni mbwembwe za kisela sio mbwembwe za kufokea wengine. Atumie pesa imzoee
 
Hizo ni mbwembwe za kisela sio mbwembwe za kufokea wengine. Atumie pesa imzoee
Ahahahahahaha unapenda kuhamisha sana magori, hakuna usela kwenye pesa, anaonyesha Jeuri ya pesa ili wanaomfatilia wajue, kufokea muhimu ndio maana mzee Mengi alifokewa na Manji, akataka alipwe shilingi sio mamilioni
 
Diamond Teja?
 
Hata sijaelewa kwa kweli lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio mana bakhresa ndio tajiri wa ukweli, hajawahi kulialia kama kuku kuomba kuandikwa forbes kama nasibu nyange
Sasa bakhresa unamlinganisha na billionaire DIAMOND PLATINUMZ [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Umemaliza !! Tatizo elimu mkuu..sisi wabongo chawa tukishaoneshwa warner sijui werner na mapichapicha instagram basi tunaona bonge la dili la mapesa mengi kwahio hata tunayemfanyia kazi ya uchawa asipoandikwa forbes tunakuja kulialia mitandaoni
Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji119]
 
Hangelia nakwambia, watu wenye hela zao za maana hawana time ya kijinga ka hiyo ya kupiga kelele zisizo na faida kwake. Kanye West anawazimu, Mondi asijilinganishe na yule, ni zaidi ya WCB [emoji23][emoji23] [emoji23]
Kama Kanye Ni wazimu basi Diamond platinumz Ni kichaa wa kutupwa Diamond platinumz Ni [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
 
Hamna lolote pale! Kabaneni pua pamoja! 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…