Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, nikuweka kuwa una maskills kibao mkuu. Na kuupload evidence ya hizo skills.Nafaka, Ahsante kwa inputs, vipi kwenye kujaza profile tuzingatie Nini?
Na kuhusu hizo "connects " za kununua zinauzwaje?
Pia unaweza kutuelekeza skillis zilizo on demand Sana huko .
Nimekupata Brother,so ukilipia Kuna possibility ya kupata kazi kuliko kutokulipia?.No, nikuweka kuwa una maskills kibao mkuu. Na kuupload evidence ya hizo skills.
Connects zinaanzia USD $1.5 kwa connects kumi
Yah unaweza kujaza hata skills 10+. Huwezi kutuma application bila kuwa na connects upwork ila kwanza wa approve profile yako. Upwork si kwamba mtu anaona profile yako ana kucontact bali mtu anaweka kazi unapply akiridhika ndo anakupaNimekupata Brother,so ukilipia Kuna possibility ya kupata kazi kuliko kutokulipia?.
Vipi naweza kujaza skilis Kama, writing, translation , web desig kwa wakati mmoja?
Sawa, na connects unalipia kupitia Master card?Yah unaweza kujaza hata skills 10+. Huwezi kutuma application bila kuwa na connects upwork ila kwanza wa approve profile yako. Upwork si kwamba mtu anaona profile yako ana kucontact bali mtu anaweka kazi unapply akiridhika ndo anakupa
Master card, na paypalSawa, na connects unalipia kupitia Master card?
Sawa ngoja nimalizie malizie kujaza jaza profile NitakurudiaMaster card, na paypal
Mkuu! Ahsante sana kwa muda wako! Mm freelancer.com, napata kazi, sema nimemaliza bids! Upwork inanitesa naipenda. Ngoja nipambane.Rumi96 Deo Corleone nawaomba niwajibu hapa hapa ili kila mwenye swali aulize hapa hapa ili wafaidike na wengine.
Ninaanza na wewe Rumi96, Upwork siku hizi siyo kama zamani, wana chambua sana freelancers ili kuzuia freelancers wenye skills zinazofanana kugombea kazi. Hata ikitokea nikafunga profile yangu kwa bahati mbaya kuja kudi ni kimbembe. Kama unaweza piga test zao upload baadhi ya kazi ulizowahi kufanya weka skills nyingi nyingi mimi ilitokea nikafunga profile yangu ya zamani kuja kurudi ilinichukua submission zaidi ya 30 na submit wanakataa narekebisha naongeza skill nasubmit upya hadi nikaweka skills ambazo mimi sina nyingine ili nionekane konki.
Juzi nilipigiwa video call na custtomer care wao ananiambia nitaje skills nilizo nazo hadi nyingine nilisha zisahau ila hakumaindi tukaishia zungumzia mambo ya corona tu. Ila sehemu rahisi ya kujiunga na kupiga pesa ni freelancer.com, Huko mimi ndiko natengeneza pesa nyingi kuliko hata upwork yani huko naweza tengeneza muda mwingine mpaka dollar 1500 kwa mwezi ila kuna matapeli wengi maana kila mtu anaweza post chochote so ni akili yako kung'amua ni nani fake nani genuine.
Pia Upwork kuondoa watu ambao hawako serious ukitaka kubid kazi unahitaji viitu vinaitwa connects ambavyo unavinunua..
Deo Corleone , suala la kupata kazi ni kuchagua the exact client. Watu wengi wanabid kazi za kisa tu zinapesa ndefu wakati hawana skills na hawajatengeneza reputation. Tafuta zile kazi unazoona zinaendana nazo na wanaobid watakuwa na skills kama wako then weka reasonable amount utapata tu. Ukifanya hivyo utapata kazi mpaka uanze zikataa nyingine, mfano mimi kuna kazi nimebid niliyoandika hapo kuwa wiki hii nina kazi ya dolar 450 inabd niimallize Ijumaa, leo nime terminate contract kwasababu nimegundua itanitesa ila nimeiterminate kirohos safi na nilikuwa nimeshaanza kuifanya so hata kile nilichofanya siku demand nilipwe ili client asije nipa bad review.
Unaweza upgrade account freelancer ukalipa dollar 10 utaongezewa bids kama 100 hiviMkuu! Ahsante sana kwa muda wako! Mm freelancer.com, napata kazi, sema nimemaliza bids! Upwork inanitesa naipenda. Ngoja nipambane.
Nina dollar 1.71 haha 😄😄sema kuna kikazi nimefanya nitapata dollar 3 pia naomba documents za kujana KYC maana wana reject kila maraUnaweza upgrade account freelancer ukalipa dollar 10 utaongezewa bids kama 100 hivi
Duuh kazi gani hizo mani unafanya sema si mbaya mwanzo mdogo mdogo.... chukua bank statement ya crdb ile inakuja kwa njia ya email, edit weka physical address yani house number na jina la mtaa, kisha watakutumia namba hiyo bank statement utaupload, pamoja na ID yake kisha watakupa namba utaziandika kwenye karatasi then upige pich ukiwa umehold karatasi ya namba walizokutumia na hiyo ID yako uliyo uploadNina dollar 1.71 haha 😄😄sema kuna kikazi nimefanya nitapata dollar 3 pia naomba documents za kujana KYC maana wana reject kila mara
Sawa mkuu, nilifanya hivo wakakataa, ngoja nirudie tena. Kingine kazi hiyo usinge reject! Kama inawezekanika unatupa hata sisi.Duuh kazi gani hizo mani unafanya sema si mbaya mwanzo mdogo mdogo.... chukua bank statement ya crdb ile inakuja kwa njia ya email, edit weka physical address yani house number na jina la mtaa, kisha watakutumia namba hiyo bank statement utaupload, pamoja na ID yake kisha watakupa namba utaziandika kwenye karatasi then upige pich ukiwa umehold karatasi ya namba walizokutumia na hiyo ID yako uliyo upload
tatizo wabongo mnapewa kazi mnafanyaa fanya tu na yeye atajua aliyefanya kazi ni mm ikiwa mbaya napata bad review mm na pia malipo yatapita kwangu tuanze shikana mashati. Ila kazi yenyewe ilikuwa inapoteza muda wakati nina kazi ya BBC kila siku nikikomaa masaa nane naondoka na dola mia ishirini tena kazi yenyewe ya kiswahili japo sijui itaisha lini piaSawa mkuu, nilifanya hivo wakakataa, ngoja nirudie tena. Kingine kazi hiyo usinge reject! Kama inawezekanika unatupa hata sisi.
Mkuu naku PMtatizo wabongo mnapewa kazi mnafanyaa fanya tu na yeye atajua aliyefanya kazi ni mm ikiwa mbaya napata bad review mm na pia malipo yatapita kwangu tuanze shikana mashati. Ila kazi yenyewe ilikuwa inapoteza muda wakati nina kazi ya BBC kila siku nikikomaa masaa nane naondoka na dola mia ishirini tena kazi yenyewe ya kiswahili japo sijui itaisha lini pia
ByLengo la uzi huu ni kupeana dili mbalimbali za kimtandao ili kupunguza angalau ukali wa maisha....[emoji16][emoji16]
LENGO NI...
1. Kupata referrals
2. Kujifunza zaidi
3. Kufundishana zaidi
4. Kupeana njia za kutusua zaidi.
5.Kulegeza hivi vyuma
Karibu weka dili lako mezani,weka na picha ya kuthibitisha malipo tuone yaliyomo yamooo...
Itapendekeza kama utauja na screenshot original ya payment ili kuaminisha wadau zaidi...
Asanteni karibuni jamvini..
Motto:: LETA KAZI HAPA,UMBEYA/MAJUNGU PELEKA KWENYE UZI WAKO
Mkuu, nenda play store ipoMsaada jamani naomba mwenye apk ya premise anitumie basi whatsapp no mi ntaistall
kaka naomba ushauri kwenye package name na revision anamaanisha nnView attachment 1452959
Pesa iko hapa hiyo kazi ya week iliyoisha jumapili hii na Week inayoanza nina kazi ya $450 yani milion moja...
Mtandaoni kuna ela sana ni kujua tu unazipataje na kujituma