Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Nadhani itakuwa Fiverr hiyo, hapo wewe ndiyeunaipa package yako jina unalotaka mfano kule kona ya matangazokuna jamaa anafanyaka graphics uwa ana packages kwamba kiasi na kazipa majina na kila package ina cost tofauti na vitu tofauti ndicho inabidi ufanye jinsi cost zinavyoongeza na unapata morekaka naomba ushauri kwenye package name na revision anamaanisha nn