Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Nafaka, Ahsante kwa inputs, vipi kwenye kujaza profile tuzingatie Nini?
Na kuhusu hizo "connects " za kununua zinauzwaje?
Pia unaweza kutuelekeza skillis zilizo on demand Sana huko .
 
No, nikuweka kuwa una maskills kibao mkuu. Na kuupload evidence ya hizo skills.
Connects zinaanzia USD $1.5 kwa connects kumi
 
Nimekupata Brother,so ukilipia Kuna possibility ya kupata kazi kuliko kutokulipia?.

Vipi naweza kujaza skilis Kama, writing, translation , web desig kwa wakati mmoja?
 
Yah unaweza kujaza hata skills 10+. Huwezi kutuma application bila kuwa na connects upwork ila kwanza wa approve profile yako. Upwork si kwamba mtu anaona profile yako ana kucontact bali mtu anaweka kazi unapply akiridhika ndo anakupa
 
Sawa, na connects unalipia kupitia Master card?
 
Mkuu! Ahsante sana kwa muda wako! Mm freelancer.com, napata kazi, sema nimemaliza bids! Upwork inanitesa naipenda. Ngoja nipambane.
 
Unaweza upgrade account freelancer ukalipa dollar 10 utaongezewa bids kama 100 hivi
 
Nina dollar 1.71 haha 😄😄sema kuna kikazi nimefanya nitapata dollar 3 pia naomba documents za kujana KYC maana wana reject kila mara
 
Duuh kazi gani hizo mani unafanya sema si mbaya mwanzo mdogo mdogo.... chukua bank statement ya crdb ile inakuja kwa njia ya email, edit weka physical address yani house number na jina la mtaa, kisha watakutumia namba hiyo bank statement utaupload, pamoja na ID yake kisha watakupa namba utaziandika kwenye karatasi then upige pich ukiwa umehold karatasi ya namba walizokutumia na hiyo ID yako uliyo upload
 
Sawa mkuu, nilifanya hivo wakakataa, ngoja nirudie tena. Kingine kazi hiyo usinge reject! Kama inawezekanika unatupa hata sisi.
 
tatizo wabongo mnapewa kazi mnafanyaa fanya tu na yeye atajua aliyefanya kazi ni mm ikiwa mbaya napata bad review mm na pia malipo yatapita kwangu tuanze shikana mashati. Ila kazi yenyewe ilikuwa inapoteza muda wakati nina kazi ya BBC kila siku nikikomaa masaa nane naondoka na dola mia ishirini tena kazi yenyewe ya kiswahili japo sijui itaisha lini pia
 
Mkuu naku PM
 
Msaada jamani naomba mwenye apk ya premise anitumie basi whatsapp no mi ntaistall
 
By

Mkuu naomba unitumie apk ya premise whtasapp mi kwangu naona imenigomea nakutana na maandishi mekundu tu nashindwa kudownload
 
View attachment 1452959
Pesa iko hapa hiyo kazi ya week iliyoisha jumapili hii na Week inayoanza nina kazi ya $450 yani milion moja...
Mtandaoni kuna ela sana ni kujua tu unazipataje na kujituma
kaka naomba ushauri kwenye package name na revision anamaanisha nn
 
Attachments

  • msaada.PNG
    12.9 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…