Nadhani itakuwa Fiverr hiyo, hapo wewe ndiyeunaipa package yako jina unalotaka mfano kule kona ya matangazokuna jamaa anafanyaka graphics uwa ana packages kwamba kiasi na kazipa majina na kila package ina cost tofauti na vitu tofauti ndicho inabidi ufanye jinsi cost zinavyoongeza na unapata morekaka naomba ushauri kwenye package name na revision anamaanisha nn
MbMimi naanza hivi
Mbona Premises pia naambiwa haipo Tanzania...hata katika playstore haionekani[emoji122][emoji122][emoji122]mkuu hizi mishe unapigaje,nataka huu mwaka nisikosee tena, ufafanuzi kidogo plz
Mbona Premises pia naambiwa haipo Tanzania...hata katika playstore haionekani
Mkuu kwenye payment method wire transfer ipojeNadhani itakuwa Fiverr hiyo, hapo wewe ndiyeunaipa package yako jina unalotaka mfano kule kona ya matangazokuna jamaa anafanyaka graphics uwa ana packages kwamba kiasi na kazipa majina na kila package ina cost tofauti na vitu tofauti ndicho inabidi ufanye jinsi cost zinavyoongeza na unapata more
Wire transfer wanakata 20 usd na minimum withdraw kwa freelancer ni 500 USD so mimi ninatumia payoneer kwa kutumia account za bank za payoneer naweza ku access express withdraw ambayo haina makato na siku pesa ikiondoka freelancer naipokea siku hiyo hiyo jion kwenye account yangu ya payoneer hivyo naweza itoa via atm yoyoteMkuu kwenye payment method wire transfer ipoje
Je ni nzuri kuitumia kutokana na uzoefu wako ktk sekta hii kabambe
Nashukuru MkuuWire transfer wanakata 20 usd na minimum withdraw kwa freelancer ni 500 USD so mimi ninatumia payoneer kwa kutumia account za bank za payoneer naweza ku access express withdraw ambayo haina makato na siku pesa ikiondoka freelancer naipokea siku hiyo hiyo jion kwenye account yangu ya payoneer hivyo naweza itoa via atm yoyote
Mi niliona moja anasema through hangoutsNashukuru Mkuu
Pia kwenye kazi wanazotangaza naona kuna mahali wanaandika
Interviewing : 12 mfano
Hiyo interview inafanyikaje mkuu
Ila walihitaji mtu wa fulltime kila interview moja wanakulipa $15
Inakuwa ni maswali kupitia conservation mkuu?
Kwahiyo hapo kulipwa ni mpaka ufaulu interview au hata usipofauluIla walihitaji mtu wa fulltime kila interview moja wanakulipa $15
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo sijajua mkuu siku apply hiyo job coz ilikuwa ni customer care plus fulltimeKwahiyo hapo kulipwa ni mpaka ufaulu interview au hata usipofaulu
Ila up work naona ni pagumu sana kupata kazihapo sijajua mkuu siku apply hiyo job coz ilikuwa ni customer care plus fulltime
exactly mi nimejiunga fiveer na freelancerIla up work naona ni pagumu sana kupata kazi
Milolongo ni mingi sana
Poa mkuu ngoja nijaribu na hukoexactly mi nimejiunga fiveer na freelancer
Duh! Kama ndivyo mbona Upwork wanalima sana, manake $40 inaishia njiani, kabla benki nao hawajachukua chao!Wire transfer wanakata 20 usd na minimum withdraw kwa freelancer ni 500 USD so mimi ninatumia payoneer kwa kutumia account za bank za payoneer naweza ku access express withdraw ambayo haina makato na siku pesa ikiondoka freelancer naipokea siku hiyo hiyo jion kwenye account yangu ya payoneer hivyo naweza itoa via atm yoyote
Upwork iko so professional ni sehemu isiyokuwa na matapeli kabisa siyo kama freelancerIla up work naona ni pagumu sana kupata kazi
Milolongo ni mingi sana