Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

Kibongo bongo sijawahi kusikia but keep trying, itafika siku utapata tu!! Muhimu ni kuzingatia huku duniani watu wanatafuta kazi kwa mwaka mzima na hawapati lakini wanaendelea kutuma maombi badala ya kukata tamaa. Problem la online jobs, watu huwa wanakata tamaa mapema huku wakisahau online jobs na kwenye traditional jobs kote kunahitaji uvumilivu!
Tatizo ni kwamba waatu wanahisi watapata ela kirahisi halafu wanakata tamaa na pia hawako tayari kuinvest muda wao. Pia wengine wanabid ili mradi kubid hata vitu wasivyo vifahamu mwisho anaharibu kazi ya client.
 
LEGIT 100% [emoji817][emoji817][emoji817]
[emoji736] Important Announcement [emoji736]
Hello Guys! Cheers!!! [emoji3060][emoji3060][emoji3060] The day has finally come! As promised, I am hereby launching an Amazing Money Making method i.e. “BitCoins Blitz Program”. There are many earning opportunities in this program:
- Free $1 (One Dollar) Signup Bonus [emoji15][emoji15][emoji15]
- $0.05 per referral who signs up through your link (just signup, no other action required); [emoji16][emoji16]
- Daily FREE coupons upto $0.50 dollar to redeem into your account (you get them in this channel) [emoji33][emoji33][emoji33]
All payments via BitCoin! [emoji182][emoji182] Minimum payout is just $10 and you will achieve it quick enough! I will post FREE cash coupons for this program EVERYDAY in this telegram
All the best guys! Start making money NOW!! [emoji573][emoji573][emoji573][emoji573]
Visit to Join program:-->

Get FREE BitCoins, Redeem Cash Coupons & Referrals Bonus too! Join Now!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibongo bongo sijawahi kusikia but keep trying, itafika siku utapata tu!! Muhimu ni kuzingatia huku duniani watu wanatafuta kazi kwa mwaka mzima na hawapati lakini wanaendelea kutuma maombi badala ya kukata tamaa. Problem la online jobs, watu huwa wanakata tamaa mapema huku wakisahau online jobs na kwenye traditional jobs kote kunahitaji uvumilivu!
Nashukuru sana mkuu
Ngoja tujaribu huenda ikawa bahati
 
Hakuna kazi unayoweza ku-apply bila connect. Sijaingia Freelancer.com muda mrefu kidogo lakini kama utaratibu wao ndio ule ule wa zamani, binafsi sioni tofauti kubwakati ya Upwork wanaouza Connect na Freelancer ambao hawauzi. Kumbuka Freelancer.com application zinajipanga kutokana na 1. Reputation ya Applicants 2. Paid Application. Maana yake ni kwamba, kama kazi imetangazwa sasa na wewe New Comer ukaanza ku-apply, Application yako itakuwa juu kabisa! Akija new applicant, hata kama hana Star hata moja lakini ana muda mrefu Freelancer.com kuliko wewe, hapo atakaa juu yako na wewe utakuwa chini yake! Kama applicant wa 3 ana Star 1, atawashusha wote wawili na yeye atakuwa juu, wewe new comer application yako itakuwa ya 3. The process goes on!

Sasa assume kuna 50 applicants, na wote hao wamekuzidi reputation in terms of Stars na Ukongwe! Hapo application yako itakuwa down to 50th position. Now ask yourself. Ni Client gani atakayeacha applications ya kwanza hadi ya 49 aje kuichukua yako ya 50?! Sisemi haiwezekani lakini chance ya Client kuziacha application za juu kuifuata ya kwako iliyo chini ni ndogo sana! Na hapo usisahau application zinazokuwa juu zinakuwa ni zile zenye Top Ratings.

Sasa ukiona mbona application yako ipo chini sana wakati ungetemani iwe juu juu ili hatimae Client aweze kuiona kwa wepesi; utakachofanya hapo utatakiwa ulipie ili ipandishwe juu! Na hapa usisahau, wakati wewe New Comer unalipia ili application yako iwe juu, mwenzako mwenye Star 1 nae analipia ili nae application yake iwe juu! Mwenye Star 2 nae analipia ili application yake ipandishwe juu! Sasa kama nyote mmelipa amount sawa; hapa tena applcation ya mwenye Star 2 itakuwa juu ya yule mwenye Star 1 ndipo itafuta ya kwako! Na hapo sio kwamba labda mtapanda hadi nafasi 3 za juu kabisa, HAPANA kwa sababu there's no way mnaweza kuzishusha zile zenye Reputation kubwa zaidi ambazo hata kama walichelewa ku-apply, application zao zitapanda juu na kuonekana kirahisi zaidi na Client! Unachoweza kupata hapo labda application yako kupanda hadi position #10 Depending na Top Ranking Freelancers wangapi wame-apply!

Upwork ujinga huo haupo. Ukiwahi wa kwanza kutuma application basi application yako itaendelea kuwa #1 hata kama kuna Top Rated Freelancers 100, each with 100% Rating, hawa wote watakuwa chini yako! Na asikudanganye mtu, ina-matter sana application yako kuwa juu! Binafsi ingawaje Rating ni 100%, siwezi ku-apply kazi ambayo naona tayari kuna, say 20 Applicants kwa sababu pamoja na kuwa Top Rated, bado application yangu itakuwa #21. Na kama Client anatafuta mtu mmoja tu, basi chance yako hapo ni ndogo sana!!

Na pia usisahau! Pale Freelancer kulikuwa na ujinga wa kulipia test ili kuongeza chance! Kuna Clients wengine unakuta wanaweka wazi kwamba applicants awe amefanya, say, American English so and so! Ili kufanya hiyo test, ni lazima ulipie! Hapa tena, UPwork hawana huo ujinga.

So, kama Freelancer.com bado hawajaacha huo mchezo wa kulipia nafasi ya juu, na wale wenye Reputation Kubwa Zaidi automatically applicationzao kuwa juu hata kama wamechelewa ku-apply; basi ni afadhali ya Upwork ambako unalipia Connect unless kama una skills ambazo majority hawana! Kwa mfano, kama wewe ni Nuclear Scientist, I guess hapo Freelancer hapawezi kuwa na Nuclear Scientists wengi! Kwahiyo ikitokea opportunity kama hiyo, si ajabu total number of applicants mkawa watatu tu!!!!
Me ni accountant naweza pata kazi hapo
 
Kazi za kihasibu na weza pata pia kuhusu location inakuwa vp
Yah hasa personal assistant naona sana wanatafuta watu wenye knowledge ya accountant ila uwe na knowledge ya ziada wengi wanakuwa na ma online shopshuko ali express, na platform nyingine
 
Tatizo ni kwamba waatu wanahisi watapata ela kirahisi halafu wanakata tamaa na pia hawako tayari kuinvest muda wao. Pia wengine wanabid ili mradi kubid hata vitu wasivyo vifahamu mwisho anaharibu kazi ya client.
Upo sahihi kwa 800%
 
Me ni accountant naweza pata kazi hapo
Of course, ukiwa na professional qualifications unapata kazi bora zaidi, lakini kama huna professional qualifications inakuwa vizuri ukizifahamu some accounting software hususani Quickbooks & Xero manake hapa ukikosa kazi za accounting zinazo-demand professional qualifications, unaweza kufanya hata za Bookkeeping or kazi za accounting zisizo-demand professional qualifications.
 
Yah hasa personal assistant naona sana wanatafuta watu wenye knowledge ya accountant ila uwe na knowledge ya ziada wengi wanakuwa na ma online shopshuko ali express, na platform nyingine
Sawa mkuu
 
Of course, ukiwa na professional qualifications unapata kazi bora zaidi, lakini kama huna professional qualifications inakuwa vizuri ukizifahamu some accounting software hususani Quickbooks & Xero manake hapa ukikosa kazi za accounting zinazo-demand professional qualifications, unaweza kufanya hata za Bookkeeping or kazi za accounting zisizo-demand professional qualifications.
Ngoja niangalie namna ya kujiunga nikikwama sehem naomba ushirikiano
 
Siyo ya kukosa imeanza alfajiri hii saaa tisa usiku.

If you have Trust wallet or Metamask. Load it with 0.1 ethereum. Grab your link here.[emoji116]



Register | XoXo Network
IMG_20200521_040930_545.jpg


Sent using [Iphone XS Max]
 
Mnaotuma links ingekuwa vizuri mkatoa maelezo kidogo juu ya hizo links mnazotuma.
 
[emoji312]XoXo link is here •••••••••••••••••••
Register | XoXo Network

[emoji979]Copy Link: Go to your Trust Wallet
[emoji979]Go To the 4 Dots,
[emoji979]Go to search _preses
[emoji979]Send
[emoji979]Confirm

[emoji979]Wait for confirmation

[emoji979]Copy Your referral Code
[emoji932]Start earning Passive income.

[emoji312]Register | XoXo Network

Sent using [Iphone XS Max]
 
[emoji746]XOXO Network is the ultimate decentralized P2P global powerline autopool networking system, built on an Ethereum Blockchain Technology (Smart Contracts).

The system is simple, secure and lucrative.

[emoji746]Features of XOXO Network Smart Contract:
[emoji830]50% Referral bonus to infinity in every autopool activation, you earn from 1st to 4th level generation(50%,25%,15%,10%)
[emoji830] Automated distribution of earnings via smart contract, peer to peer.
[emoji830]Auto re-entry into autopool.
[emoji830]You receive payment from 3 global users globally in the real global powerline autopool.
[emoji830]Earnings are unlimited at all auto pools.
[emoji830]Its on Ethereum blockchain and can never be stopped, crashed, deleted or scammed.
[emoji830]No Admin involved
[emoji830]A single referral qualifies you into all autopool 1 to 7

[emoji746]Autopool Activation Costs:
[emoji830]Pool1=0.1 eth($20)
[emoji830]Pool2=0.2 eth($40)
[emoji830]Pool3=0.3 eth($60)
[emoji830]Pool4=0.4 eth($80)
[emoji830]Pool5=0.5 eth($100)
[emoji830]Pool6=0.7 eth($150)
[emoji830]Pool7=1 eth($217)

This involves Wealth, Love, Family, Faith, Happiness, Teamwork and Fun

Register | XoXo Network
View attachment 1455694View attachment 1455695View attachment 1455696
Screenshot_20200521-114559_Trust%20Wallet.jpg


Sent using [Iphone XS Max]
 
*Joining any Smartcontract*

First of all you need to have an Ethereum Wallet. There are a variety of decentralised Ethereum wallets such as;
■I'mtoken
■Coinbase
■Mathwallet
■Mew wallet
■Mew connect
■Mew App
■Trust wallet
■MetaMask wallet(the best and hackproof wallet)

Just to mention a few.

But the one which is common and is being used by most people is know as TRUST WALLET. Simple and user friendly to intergrate with Dapps. Here is the link to download Trust Wallet. [emoji116][emoji116][emoji116]

Join Trust Wallet

Remember, once a smart contract is deployed in the Ethereum Blockchain, no one can manipulate it. It can not be deleted, altered, stopped or even be directed to scamm.

To join xoxo network smartcontract,
just grab this link below[emoji116]
And start earning Passive Income.

Register | XoXo Network
Screenshot_20200521-150709_Telegram.jpg


Sent using [Iphone XS Max]
 
Back
Top Bottom