no jamani sasa hivi najikuta namchukiaaaaa so hata sisikii raha..now i have tuned my mind over him negatively na soon ntakamilisha my mission..
Am not sleeping now...lol
Inamana ulikesha au ile mida huko ilikuwa mchana ????!! even if ulikesha ulikesha usiku ukiwa mwema hamkuvamiva na jambazis, hakukuwa na vurugu yoyote, hamkuwangiwa na wachawi teh good morning... utasema hujaamka bado!!
nimeamka mahondaw...haya mrejesho wa leo vipi baby ako mmerudiana?
hah hah bado sijawa na strength ya kumuacha ghafla asee namlia timing.... jana mchana si tulikorofishana banah akasusa hatujaongea akasepa kutembea hukooo anakojua mwenyew mpaka usiku mi nkalala zangu mapemaaa.. lol kushtuka usiku mtu tayari yuko juu yangu dah... kazi ipo.
Aisee we binti umenifanya niangue kicheko mbele ya watu....
cheka zako mwaya unune una(...)siriaz unaeza zani ni utani but its reality.. leo asubuhi sasa yaleyaleeee kaamka kajiandaa vizuri sasa shati alilotaka kuvaa kakuta katikati lina mstari wa kamba umeweka alama katikati kumbe nilivoanika kamba ilikua chafu sikuifuta ndo nianike weeh ameanza kurap tangu asubuhi wakati hata baadhi ya nguo zangu nyeupe nazo zina alama.. yani leo ndani hapatoshi.. hapa hayupo napumua.
Hahaha...sinuni mimi yan mwanaume huyo anaonekana ana gubu haswaaa
Hata hiyo ya kitandani ni ya muda fulani tu. Siyo kwamba atakufanya hivyo maishani.
Kuna vicheche kibao vinamvizia na siku wakimtia mikononi utabaki unalia na moyo wako.