Dillemma!

Dillemma!

hapo kwenye B unifikirie na mimi

hah hah haa haloooooooooooo ooooooooo! the 1st thing i wana do is to stay away from him..because nipo kwake kama wik 3 sasa now i wana go back to my place then other things will follow!! tangu majuz nimechange kidogo mpaka anajishtukia mwenyewe mi sina habari najifanya kama sijui vile.
 
Kwa mtaji huu wadada mtaendelea kuwapikia na kuwafulia boxer wanaume za watu hadi mzeeke! Inakuaje mwanamke anakubali kuishi na mtu ambaye siye mumewe, tena ukiwa hutambuliwi kwao!! emotional love itawamaliza sana.
We endelea kufua vyupi vya wanaume huku ukijifanya humpendi na kutishia utamuacha wakati hapa bongo mwanaume ndiye anayeacha na sio kuachwa.
 
I feel sory for you little boy it seems una elimu ndogo sana ya mapenzi so i cant argue with u anymore. usilolijua ni kama usiku wa giza.. kwaheeri.
just a piece of advice u can take it or not: usivamie vamie na kuropoka ropoka tu ilimradi nawe uonekane umeongea kitu just think 1st.

cc. the intelligent
 
hah hah haa haloooooooooooo ooooooooo! the 1st thing i wana do is to stay away from him..because nipo kwake kama wik 3 sasa now i wana go back to my place then other things will follow!! tangu majuz nimechange kidogo mpaka anajishtukia mwenyewe mi sina habari najifanya kama sijui vile.

ok fine!!
 
Acha kumpotosha wewe. SEX ndio alama ya mapenzi bila sex hakuna mapenzi. wewe ukipata mwanaume anae kuonjaonja kidogo bila kulizika si utatafuta mwingine ili hakulizishe.
 
Acha kumpotosha wewe. SEX ndio alama ya mapenzi bila sex hakuna mapenzi. wewe ukipata mwanaume anae kuonjaonja kidogo bila kulizika si utatafuta mwingine ili hakulizishe.

sa mpotoshaji ni nani??? naona hujaquote wala hujammention huyo mpotoshaji... to my side thats why I'm dilemma!!
 
unaweza ukamuacha huyo ukapata mwingine ndio balaa. ukawa bint wa kuacha kuacha wanaume coz ume experience hiyo tabia ya kuacha. mwishoe utaandika naomba ushauri mpenzi wangu anifikishi kileleni. Tulia na huyo mwanaume mpe mapenzi matamu uku ukimsifia kila mara, mwishoe atabadilika tu.
 
mmhhhhhh haya banah mekuelewa. asante kwa ushauri mzuri
 
mwanzoni ilikua ngumu kujua baadhi ya tabia na mambo yake kiujumla kwa sababu hakujionyesha but as days goes nadiscover vitu tofauti na nilivyotarajia... clear??????

Mamii...Find where your happiness is......Vuta subira...usikurupuke kuendelea na further step ya ndoa...Mambo yote hua yanatakiwa ya match...To find someone who is compatible to you.......You can get good sex anywhere...but its good to have great sex with someone mnaeelewana na kuendana and kupendana.........
 
mwanzoni ilikua ngumu kujua baadhi ya tabia na mambo yake kiujumla kwa sababu hakujionyesha but as days goes nadiscover vitu tofauti na nilivyotarajia... clear??????

Nakushauri uamue mapema kusuka ama kunyoa. Mpenzi wako hatabadilika. Chagua kubadilika wewe..
..ila kama hakupigi katika ugomvi sio mbaya sana.
 
sure kabisa na huwa natafakari na kuamua kumuacha kwa % percent but.. but when i think of sex i just find myself crying because kwa ufahamu wangu he is mkunaji zaidi ya wote niliowahi kuwa nao uuuh..

Tatizo lenu si tofauti za interest kama ulivoeleza bali mojawenu ni malaya aliyekubuhu. Ni vigumu sana kwa malaya kustick kwa mtu moja. Jirekebishe, wewe ndo tatizo.
 
hah hah haa haloooooooooooo ooooooooo! the 1st thing i wana do is to stay away from him..because nipo kwake kama wik 3 sasa now i wana go back to my place then other things will follow!! tangu majuz nimechange kidogo mpaka anajishtukia mwenyewe mi sina habari najifanya kama sijui vile.
Pole sana... Maamuzi ya mwisho yalikuwaje maana wengine wangependa kujifunza kutoka kwako kwa situation uliyopitia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Negative effects za kuonja tunda kabla ya ndoa ni pamoja na hii.. Sikulaumu coz wengi sasa ndio trend yetu ya maisha, kulalana kwanza...lakini kusingekuwa na ngono, ingalikuwa rahisi kufanya maamuzi, kwa sasa kigezo kimoja tu kinakufunga.

upo crossroad kwa sasa, lakini jiulize hivi maisha ni tendo la ndoa pekee. Kama hutakuwa na amani ndani ya nyumba, hata huko kumsifia hakutakuwepo tena vile utaota sugu ya matatizo na sex haitakuwa na ladha tena.

think dada, think...!!
Cc chinchilla moja ya athari ya dating for fun. Watu huficha rangi zao halisi
 
Back
Top Bottom