Dillemma!

Samahani kwa swali lakini... Hii ilikuwa kwa shemela wetu wa sasa hivi au ni mwingine....?

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Samahani kwa swali lakini... Hii ilikuwa kwa shemela wetu wa sasa hivi au ni mwingine....?

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Wewe mi mchochezi
 
Hahahaha.....ngoja na mimi nikamate sururu nikafukue jingine.

Raha sana aisee!
 
Mmmh wewe zoa zoa kweli mizoga iliyowashinda wenzako wewe ndiyo unabebaga..
hicho tu.. hakuna kingine.. yaani kuna wakati naamua kutaka kumuacha kabsaaa lakini yeye akiniambia tuachane nalia kwa uchungu sana na kumuomba msamaha wakati katika other life aspects sifurahii kabsaa na hilo suala linanikosesha amani ya maisha
Ha ha ha
Wewe hatari kwa hiyo ulishawahi kuishi na mwanaume ndani kinyumba? Nuksi utaolewa kweli?
Tangu 2014_2017 umeshakuwa na wanaume zaidi ya 10 bila shaka kwa sababu unapenda zinaa.
Yaani unajiweka kwa wanaume kisa ngono.? Tuu?
Hilo pepo la ngono lishiiiindwe..

Cc mzinzi mwenzako smart.
 
Aseeh pole,...ila inaonekana wew ndo ujaridhika nae coz kua na amani kweny uhusiano ni jambo lakuzungumza wawili na kuweka mambo sawa,..sema sijaelewa unachokitafuta kweny uu uhusiano ni bora uachane nao kama auna tija usilete matatizo makubwa zaidi mbeleni,...
 
Ufukuaji Wa makaburi uundiwe tume ama utungiwe sheria ........
 
Ukimuacha huyo, atakaefuata atapata shida sana, maana ukikumbuka mgegedo utaipeleka tu
 
You never ceases to amaze me. Wish i could hug your mind Karucee
 
Hahaaaaa.

What a compliment.

Is this a new ID? Or a renamed one from a loyal fan?
hahaha a loyal fan with an old iD. You`re an attachment i`ll never slaughter [emoji23] [emoji23]
 
hahaha a loyal fan with an old iD. You`re an attachment i`ll never slaughter [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Very honoured.

Went off JF for quite some time and for some reason forgot quite a number of IDs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…