HahahaUfukuaji Wa makaburi uundiwe tume ama utungiwe sheria ........
Ukimuacha huyo, atakaefuata atapata shida sana, maana ukikumbuka mgegedo utaipeleka tu
Naamsex inaenda na umri.... itafika wakati utasahau kama mna vifanyio. tafta anaekupa furaha na amani ya roho. achana na hizo bao unazopigishwa kitandani. maisha ni zaidi ya sex.
Duuh!!sure kabisa na huwa natafakari na kuamua kumuacha kwa % percent but.. but when i think of sex i just find myself crying because kwa ufahamu wangu he is mkunaji zaidi ya wote niliowahi kuwa nao uuuh..
HahahaKwa mtaji huu wadada mtaendelea kuwapikia na kuwafulia boxer wanaume za watu hadi mzeeke! Inakuaje mwanamke anakubali kuishi na mtu ambaye siye mumewe, tena ukiwa hutambuliwi kwao!! emotional love itawamaliza sana.
We endelea kufua vyupi vya wanaume huku ukijifanya humpendi na kutishia utamuacha wakati hapa bongo mwanaume ndiye anayeacha na sio kuachwa.
Mmmhnot realy..because I was upset with lots of things in my mind.
Hahahaha.....ngoja na mimi nikamate sururu nikafukue jingine.
Raha sana aisee!